Nauza Bata na Njiwa

Nauza Bata na Njiwa

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,354
Kwa mwenye kuhitaji tufanye biashara ani PM!
 
samahani kazi ya njiwa ni nini? analiwa?
 
wanakaa na chaji?

Km kweli kucheka kunaongeza umri wa kuishi mkuu leo umeniongezea umri.nimecheka sana kwa kweli yani nimecheka mpaka machozi yamenitoka wewe ni zaidi ya comedian
 
Km kweli kucheka kunaongeza umri wa kuishi mkuu leo umeniongezea umri.nimecheka sana kwa kweli yani nimecheka mpaka machozi yamenitoka wewe ni zaidi ya comedian

hehe, thanx
 
This is facking kitomari dont make deal with this man
 
Hii inamaanisha soko la bata lipo ila shida ni mtu/watu wanaoweza kysupply wenye uhakika na wanaojua nini wanachofanya na sio haya mambo ya kitomari
 
A alaykum,
Vp
hali zenu hum ndan?
NAUZ BATA BUKINI WAKUBWA WENYE KUTAGA,
NIKO MOROGORO MJINI.
0653749790
 
I don't trust you guys from R chuga and believe me or not this is KITOMARI on another name. I stand to be corrected if am wrong
Hata mimi ninahisi hivyo huyu ni yule tapeli wetu wa kipindi kile, halafu wore wamebadili majina yao. Mwingine huyu hapa Julius Kaisari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom