Nauza baiskeli yangu bei Tshs 35 nipo Dar

Nauza baiskeli yangu bei Tshs 35 nipo Dar

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,932
Reaction score
3,249
Nauza baiskeli 35 nataka kununua pikipiki nipo Dar Ukonga
 
Mkuu ungesema ni za aina gani mfano Phonex, Avon, Swara pia bei nayo ungetaja japo naona kama umeshindwa kuweka hata picha ili watu wajionee.
 
Mkuu 35 elfu au billions of dollars?!!
 
Zheng Zheng ile ya mchina au Phoenix zile za zamani zenye dynamo na taa?
 
Ina tatizo lolote lile ambalo ni muhimu nilijue mapema? Naomba sababu ya wewe kuiuza kama vipi tuingie PM. I’m a serious buyer nipo kwenye kampeni ya kitambi noma naitafuta sana hii kitu.
 
naona watu wanadhihaka mpaka kwenye topic zisizo mzaha. weka picha ya hiyo baiskeli tununue mkuu.
 
Baskeli
 

Attachments

  • 1409502035346.jpg
    1409502035346.jpg
    71.4 KB · Views: 363

Similar Discussions

Back
Top Bottom