Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
Hebu basi tuwekee hata namba yako tukutafute...
Ina tatizo lolote lile ambalo ni muhimu nilijue mapema? Naomba sababu ya wewe kuiuza kama vipi tuingie PM. Im a serious buyer nipo kwenye kampeni ya kitambi noma naitafuta sana hii kitu.
Hujaona lile tangazo langu la kuuza bikie? Ipo moja ya 2014, 29", 21 shimano gears, discs mbele na nyuma, lockable shock up. Bei $400
Mkuu 35 elfu au billions of dollars?!!
Niuzie na cheti chako cha muhimbili cha tiba ya mgongo ili nisipate Tabu ya foleni nikienda
In CC ngapi?
Halafu imelipiwa ushuru
Imetembea km ngapi..????
Imetembea km ngapi..????
'na aseme pia imetembea kilomita ngapi asee...'
Ni baiskeli tu duh haya.Mkuu weka picha basi ....ya mwaka gani, rangi, imeingia lini nchini etc...
muwe mnasoma uzi kuanzia mwanzoUnapatikana wapi kiongoz??
Mkuu ni $400 au ulimaanisha $40? Mbona bei ya vitz hiyo FOB
Kama bado ipo nicheck whtsyp 0754 552518 tufanye biashara leo leo,niko dar na kesho narudi kilimanjaro naitaka hiyo kitu
$400 mazee, ukiendesha hii bikie hkn ambae hatashangazwa nayo, unaeza kua nayo mwenyewe mkoa mzima
Nani anataka kuundiwa time?
Akhuuu!