Ebu fafanua vizuri sijakuelewa hapo kwenye selfie.Ikitakiwa picha nmpigia anaingia online
Ikitakiwa picha nmpigia anaingia online
Inahitajika mara moja tu kwa masaa 24
Ukishauza tu itakuwa kero kwako, hutokubali kupiga picha kila siku kwajili ya mtu mwingine ku-log in… haiwezekani.
Mbona rahisi tu kuliona hilo.!
Utatoa ushirikiano hadi lini?
Hahahahah imeisha hio!kijiwe kishanyewa hiki tufunge misala yetu tuondoke
Hapo sina uhakika lakini kwa maelezo ya hapo juu I doubt km unaweza Fanya ivyo.Hahahahah imeisha hio!
Ila kwani haiwezekani kutuma picha ya uliyemuuzia account?