Nauza Achari /ubuyu wa embe

Nauza Achari /ubuyu wa embe

zaynab applw

Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
55
Reaction score
38
Nauza achari/ubuyu wa embe ni embe zilizoanikwa juan na kupikwa kama ubuyu ni tam mnoo nauza 700 jumla 1000 kwa rejareja napatikana Songea town delivery ipo kwa wakaz wa mbeya mtwara Ruvuma yote Dodoma Dar Moro Iringa njombe Karibuni sana 0654695943
20181102_071304.jpg
20181102_071340.jpg
swahilivibes___%3Futm_source%3Dig_share_sheet%26igshid%3Deykqptidtrr5___.jpg
 
Aisee hii kitu nilikuwaga nakula moro enzi nipo shule ya msingi ni mtamu sana, nilikuwa najiuliza tu mbona dar sijawahi ona hili kabisa japo biashara ni nyingi mno! Mkuu mi nifundishe kutengeneza basi niwe nakula hapa home
 
Zainabu naruhusiwa kutumia hiyo namba yako ya simu uliyoweka hapo kwa mambo yetu yale?
 
Back
Top Bottom