Nauza Acces Point na PC monitor flat screen

Nauza Acces Point na PC monitor flat screen

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Nauza Access Point DWL-2100..elfu 70 tu + installtion ukitaka..,Also nauza PC Monitor flat screen 17 inches Hp....elfu 70 tu.Vyote viko Dar.if you are Serious Buyer ni PM
 
Nipatie AP specs such as outpur power, radio mode and antenna
 
Nauza Access Point DWL-2100..elfu 70 tu + installtion ukitaka..,Also nauza PC Monitor flat screen 17 inches Hp....elfu 70 tu.Vyote viko Dar.if you are Serious Buyer ni PM

Kuna mshikaji aliniulizia kuhusu flat screen, anapatikana kwenye namba 0716 67 09 79....unaweza kuwasiliana nae kwani hadi naandika hapa, bado alikuwa hajapata kutokana na kuwa na bajeti ndogo; am certain kwa hiyo bei mnaweza fikia mwafaka!
 
Back
Top Bottom