SISIS
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 11,084
- 3,555
Nauza ac ya hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa
Wazee huu ndio msimu wa joto sasa usikubali ofa kama hii ikupite hii ni ac dual inveter btu 18000, nimeitumia kwa miezi 9 na sababu ya kuuza nahamia kwangu so seble ni kubwa zaidi nafunga kubwa zaidi ya btu 23000 so kwa mwenye uhitaji wa hii anicheki chap nauza kwa sh 690,000 tu mpya dukani ni sh 1,300,000 wahi nikutestie ikupulize hapa ukirizika nakushushia uondoke nayo nahama tarehe 17
Ac ni Dual inveter inanusa umeme tu
Napatikana Kigamboni

kila kitu yaani hadi mabox yake yapo ndani mimi sio janja janja