ibuo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 464
- 438
Kama nilivyoeleza hapo juu kuna line maalum za vodacom tofauti na hizi za kawaida ambazo ni special kwa makampuni makubwa na madogo, NGO's na hata mtu binafsi mwenye leseni ya biashara na tin namba yake ambapo kwenye hizo line unaweza kupiga simu za ndani na za nje bando za intenet kwa matumizi ya chini kabisa ya matumizi ya kawaida.ni pm