Naungana na TCRA kuzima simu fake zote nchi nzima

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
Ni kweli kila maamuzi ya kitaifa lzm yawagawe wananchi katika makundi mawili yasiyowiana.

Madhara ya muda Muda mrefu ya simu mbovu na feki ni makubwa kuliko faida za kuwepo.
Madhara ya simu usiyojua kama mionzi iko regulated, vifaa vya ndanini original au feki, yawezekana hata kukulipukia(fake lithiam ion battery).Gharama kubwa ya kukusanya electronic waste(miradi ya mabillion) itaepukwa na madhara yake katika jamii na mazingira yataepukwa. Kukosea kuruhusu miaka uliopita hakuzuii kuzifungia kama umepata ukweli mpya.

Sioni sababu ya watu kuhofu. Hii itatoa fursa kubwa sana kwa makampuni kama Techno au Huawei kutuletea low cost original phones kwa gharama hata 15000 maana soko kubwa nitakuwepo kuanzia mwezi Wa sita.

Najaribu kuwaza
 
Mbona hayo madhara hata original yapo. Ila Tcra wameamua kutukalilisha sio mbaya. Ila kwa utaalamu wangu najua uko mbele tunaenda kudukuana si unajua counterfeit hazidukuliki.
 
Mbona hayo madhara hata original yapo. Ila Tcra wameamua kutukalilisha sio mbaya. Ila kwa utaalamu wangu najua uko mbele tunaenda kudukuana si unajua counterfeit hazidukuliki.
huwezi ukalinganisha kitu fake na original. ni rahisi kushtaki au kudai fidia madhara uliyosababishiwa na SAMSUNG kama yakithibitika kuliko kumdai owner wa simu fake ambaye hujui hata address zake.

karne hii sio ya kulilia vitu fake,
 
Back
Top Bottom