Naungama...! Natubu..!

Useme ulichowafanyia na ukiweza uwataje.

Mbona unafanya toba ya juu juu.

Sema kidogo.
 
Useme ulichowafanyia na ukiweza uwataje.

Mbona unafanya toba ya juu juu.

Sema kidogo.
Nimewaloga, wengine nimewafarakanisha, wengine nimewapiga kipapai na kuna wengine nimewafanyia mambo machafu kabisa mpaka wakaomba po
.. Nimewafanyia ukatili ambao sikupaswa kuufanya
... Ila sasa nimetubu na ni kiumbe kipya.... Sitaweza kumtaja yoyote
 
Heeee, hivi kweli?

Nitakutafuta kuna David alinidhulumu laki mbili, japo ameshapata majanga hadi kufungwa hadi kukimbiwa na mke ila nataka unisaidie arudishe hela yangu
 
Heeee, hivi kweli?

Nitakutafuta kuna David alinidhulumu laki mbili, japo ameshapata majanga hadi kufungwa hadi kukimbiwa na mke ila nataka unisaidie arudishe hela yangu
Hapana iache tu hiyo hela keshachapwa na bado atachapwa zaidi....
 
Mi niliambia na mchungaji ni tubu....sikuona tatzo bali niliona bonge la fursa ya kurudi kwa Mungu wangu NIKATUBU KIROHO SAFIII
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…