umeishia darasa la ngapi,na familia yenu inanufaika na wewe japo kimawazo?Kweli soka letu litazidi kurudi na kamwe halitasonga mbele. No wonda kila siku tunazidi kudidimia ktk viwango wa fifa. Inatia aibu na haiingii akilini kamati ya sheria ya tff kutofuata sheria na kanuni walizoziweka wenyewe. Yondani amesini mikataba miwili iko dhahiri kabisa iweje aidhinishwe kuichezea Yanga tena kuwa kupiga kura na wajumbe wa kamati?? Sheria inasemaje?? Hivi kama haya yanaonekana dhahiri mwanzoni hata ligi bado haijaanza je! Uko mbele itakuwaje? Au ndo yale ya refa Oden Mbaga kuchezesha mechi 3 mfululizo zinazoihisisha Yanga tena pale taifa 2! naunga mkono mkutano mkuu uitishwe tupate baraka za wanachama tukafungue kesi ktk mahakama ya kiraia ili tff itufungie na fifa iwafungie tff ili tuanze upya. Othawise tukikata rufaa kwa kamati hiyohiyo ya mgongolwa mambo yatakuwa yaleyale 2.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
umeishia darasa la ngapi,na familia yenu inanufaika na wewe japo kimawazo?
Labda nikuulize nawe pia kwa maneno yako haya familia yako ata usipokuwepo ina-kumisi kweli!!!? Maana unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu
ok! na nyie anzisheni baclayz premier leag ya timu mbili,simba b,na simba ya wakubwa,refa awe rageSimba bora tujitoe...maana haya mambo hata ligi kuu ya england wakati inaitwa division palikuaga na mambo kama haya na baadhi ya timu zikajitoa na kuanzisha ligi nyingine iliyoitwa barclays premier league ambayo mpaka leo ndio league maarufu duniani............tuwaachie tff na yanga waendelee na ligi yao
Simba bora tujitoe...maana haya mambo hata ligi kuu ya england wakati inaitwa division palikuaga na mambo kama haya na baadhi ya timu zikajitoa na kuanzisha ligi nyingine iliyoitwa barclays premier league ambayo mpaka leo ndio league maarufu duniani............tuwaachie tff na yanga waendelee na ligi yao
asnte kwa kumuelewesha.Ndo mana nilikuw a na wasiwasi na uwezo wake wa kufikiri:A S 101:Swali alilouliza ni la msingi ila kwa kuwa hujaelewa au una akili kama za Rage hutaelewa. Kwani Simba ina mchezaji mmoja?
Leo hii ndio mnajua kanuni, eti? Wakati Azam inapokwa points zake msimu uliopita na kuambiwa irudie mechi kwa makosa ambayo si yao hamkuona taratibu zimekosewa?
Mwaka wenu huu, mtanuna mpk muote vigimbi kwenye moyo muwasumbue madaktari kwa operesheni za roho
Kweli soka letu litazidi kurudi na kamwe halitasonga mbele. No wonda kila siku tunazidi kudidimia ktk viwango wa fifa. Inatia aibu na haiingii akilini kamati ya sheria ya tff kutofuata sheria na kanuni walizoziweka wenyewe. Yondani amesini mikataba miwili iko dhahiri kabisa iweje aidhinishwe kuichezea Yanga tena kuwa kupiga kura na wajumbe wa kamati?? Sheria inasemaje?? Hivi kama haya yanaonekana dhahiri mwanzoni hata ligi bado haijaanza je! Uko mbele itakuwaje? Au ndo yale ya refa Oden Mbaga kuchezesha mechi 3 mfululizo zinazoihisisha Yanga tena pale taifa 2! naunga mkono mkutano mkuu uitishwe tupate baraka za wanachama tukafungue kesi ktk mahakama ya kiraia ili tff itufungie na fifa iwafungie tff ili tuanze upya. Othawise tukikata rufaa kwa kamati hiyohiyo ya mgongolwa mambo yatakuwa yaleyale 2.

ok! na nyie anzisheni baclayz premier leag ya timu mbili,simba b,na simba ya wakubwa,refa awe rage
Kweli soka letu litazidi kurudi na kamwe halitasonga mbele. No wonda kila siku tunazidi kudidimia ktk viwango wa fifa. Inatia aibu na haiingii akilini kamati ya sheria ya tff kutofuata sheria na kanuni walizoziweka wenyewe. Yondani amesini mikataba miwili iko dhahiri kabisa iweje aidhinishwe kuichezea Yanga tena kuwa kupiga kura na wajumbe wa kamati?? Sheria inasemaje?? Hivi kama haya yanaonekana dhahiri mwanzoni hata ligi bado haijaanza je! Uko mbele itakuwaje? Au ndo yale ya refa Oden Mbaga kuchezesha mechi 3 mfululizo zinazoihisisha Yanga tena pale taifa 2! naunga mkono mkutano mkuu uitishwe tupate baraka za wanachama tukafungue kesi ktk mahakama ya kiraia ili tff itufungie na fifa iwafungie tff ili tuanze upya. Othawise tukikata rufaa kwa kamati hiyohiyo ya mgongolwa mambo yatakuwa yaleyale 2.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yondani amesini mikataba miwili iko dhahiri kabisa iweje aidhinishwe kuichezea Yanga tena kuwa kupiga kura na wajumbe wa kamati??