Wako busy kulinda ukuta usijengweMhariri wa gazeti la Mwananchi leo Septemba 17 2016 anasema madereva wanaosafiri nchi zenye machafuko kama huko DRC wasindikizwe kwa sababu hali huko si salama, na visa vinavyosimuliwa ni vichache.
MIMI NYADIKWA: Namuunga Mkono huyu ndugu mhariri kwa maslahi mapana ya uchumi wa Tanzania na huko DRC. Serikali ya Tanzania liangalieni hili na mlifanyie kazi. OVER. N'yadikwa UR
- Anasema madereva wengi wanaosaforosha mizigo kwenda DRC husimulia kuporwa, kupigwa na mizigo wanayosafirisha kuibiwa.
- Wanasema pamoja na kusafiri kwa misururu bado wanatendewa jinai
- Haya yanajiri wakati kukiwa na kongamano la kuboresha biashara baina ya nchi ya Tanzania na DRC, sasa suala la usalama kuwa nyuma kama ajenda kiongozi hakutawezesha kukuza biashara.
- MHARIRI anamalizia kwa kushauri kuwa uwekwe utaratibu kwa serikali ya DRC na Tanzania zikubaliane kuwe na utaratibu wa askari wa DRC kuwasindikiza madereva wetu mara wanapoingiza matairi ya malori yao DRC ili ukuaji wa biashara usizorote.
Sio akili hii,hoja nyingine kabisa,na usiharibu uzi kwa ujinga wa Siasa.Wako busy kulinda ukuta usijengwe
hii nchi kila kitu siasa toka lini makada wanakuwa maDED post ambayo very sensitive maendeleo yote yapo halmashauri.Sio akili hii,hoja nyingine kabisa,na usiharibu uzi kwa ujinga wa Siasa.
Yaani unashindwa kujenga hoja kwenye hoja hapo juu?sio kila kitu siasa
Mhariri wa gazeti la Mwananchi leo Septemba 17 2016 anasema madereva wanaosafiri nchi zenye machafuko kama huko DRC wasindikizwe kwa sababu hali huko si salama, na visa vinavyosimuliwa ni vichache.
MIMI NYADIKWA: Namuunga Mkono huyu ndugu mhariri kwa maslahi mapana ya uchumi wa Tanzania na huko DRC. Serikali ya Tanzania liangalieni hili na mlifanyie kazi. OVER. N'yadikwa UR
- Anasema madereva wengi wanaosaforosha mizigo kwenda DRC husimulia kuporwa, kupigwa na mizigo wanayosafirisha kuibiwa.
- Wanasema pamoja na kusafiri kwa misururu bado wanatendewa jinai
- Haya yanajiri wakati kukiwa na kongamano la kuboresha biashara baina ya nchi ya Tanzania na DRC, sasa suala la usalama kuwa nyuma kama ajenda kiongozi hakutawezesha kukuza biashara.
- MHARIRI anamalizia kwa kushauri kuwa uwekwe utaratibu kwa serikali ya DRC na Tanzania zikubaliane kuwe na utaratibu wa askari wa DRC kuwasindikiza madereva wetu mara wanapoingiza matairi ya malori yao DRC ili ukuaji wa biashara usizorote.
Sasa nini kifanyike kumaliza hujuma hizi mkuu.Hiyo kitu unayoomba ndio mbaya kuliko maelezo, hayo Magari yangekuwa na Askari humo ndani, basi tungepokea mabox ya maiti hapa Tanzania
Hao jamaa hata siku moja hawajawahi kuua wanaiwateka kama magari wanayoyateka hayana Askari, ukisia wameua basi walikutana na watu wenye silahaama askari
Mara nyingi hata Askari wakiomba lift kwenye hayo Magari, huwa Makini sana wakisikia risasi tu basi wao ndio wanakuwa wa kwanza kutupa magwanda yao pamoja na bunduki na kukimbilia porini
Naongea kutokana na Experience
Hakuna cha kufanya hapo kaka, Watu kutekwa hapo hata Watanzania sio mara ya kwanza kwa hilo tukio, hilo tukio limepata kujulikana kwa sababu ya hizo gari kuchomwa moto, otherwise hakuna mtu angejua ingekuwa kama matukio mengine yaliyowahi kutokea, Watanzania washatekwa sana hapo, lakini jamaa wakishajua wewe ni mbongo wala hawana habari na wewe na passport wanakurudishia, au wanaweza kukunyanganyeni mabegi na wakenda nayo milimani kusachi, unaweza shangaa baada ya wiki anakuja mtu sehemu uliyofikia say 50km akiwa na passport yako na anakwambia kabisa nyie wabongo ni ndugu zetuSasa nini kifanyike kumaliza hujuma hizi mkuu.