Naunga Mkono Bunge Kutoonyeshwa Live

Wewe ni mbumbumbu na kwa tabia yako hiyo ya kuendekeza vya kupewa bure utaendelea kuwa mbumbumbu wa kudumu,yaani huwezi kuchagua post gani ya kuchangia kizalendo?
 
unaongeaaa au ndo style yako ya kuharisha?
 
Itoshe tu kusema kuwa anatumia masaburi!
 
Wananchi siye ndiyo tulio wachagua na tunahitaji kuangalia bunge,nyinyi endeleeni kufuata upepo lkn wabunge wenu watakacho kikuta huku majimboni ndio watajua kuwa bora wangelikubali waonekane bungeni kuliko kuficha huo ujinga wao wa kukata mauno
 
Kujua mbunge anayetetea maendeleo ya jimbo lake kaangalie jimboni kwake usimwangalie sura yake bungeni akiongea kwa uchungu wa kutunga na machozi ya kitapeli.Maendeleo yaliyoko bungeni ndio kionyeshaji wazi kuwa mbunge anatetea maendeleo jimboni.
Hii shule ni mojawapo ya shule iliyopo jimboni mwa nape huko mtama mkoani lindi
 
Sa Sasa kaka ukiwa wapo live unasema wanadandia hoja za wenzao na hawajafanya chochote majimboni mwao ILA sibora alivyodandia hiyo hoja ya mwenzie maana hata yeye ameongea na ukiona amedandia ujue hata yeye jimbon kwake kunatatzo Hilo Hilo kuliko kukaa kimya.
Na akija jimbon anasema niliongea kweli aliongea kuliko tusipo ona kabisa na anaweza kuja jimbon akasema bunge limepitisha kumbe haijaongelewa.
Watanzania tutumie akili wasipo rusha bunge Ni kutunyima uhuru WA habari na kibaya zaid tunarudi nyuma.
Tusiwe mazuzu hebu fikiria vizuri habari ya Jana unaipata Leo kweli wakati sasa hivi dunia Ni kijiji tukio linatokea marekan dakika tano tuu tumelipata ndio iwe habari ya hapa hapa nyumbani kweli.
Alafu pia kufanya hivi Ni kutuondoa kwenye hali ya kufatilia maendeleo yetu wenyewe.
 
Utajuaje mbunge wako anapambana bungeni kama bunge alirushwi live utajuaje mbunge wako kama anapambania miradi mikubwa ifike jimboni mwake bila bunge kurushwa live wewe huo U-DC unaoutafuta huto upata huu muhimili uachwe ufanye kazi wenyewe usiingiliwe Na serikali
 
kwani umelazimishwa kuangalia acha sisi wengine tuangalie tujue nani anasinzia bungeni na nani anatuwakilisha ipasavyo
wanaotetea bunge lisionyweshe live ni interahamwe kama wewe hamna uchungu na nchi yetu,hawajamaa ukiwafungia bila kuwaonyesha watapiga dili sana mpaka wanaweza kutuuza na sisi
 
Ni kawaida kabisa kuwa ukitumia hivi vitu ni lazima akili zako zipungue kwa kasi ya ajabu.....UGORO. ..KIMPUMU. ...WANZUKI....VIROBA
Joseph Haule kapeleka mabomba ya maji jimboni lakini unanitukana bure tu.
 

Hii serikali ni Hapa Kazi tu mbona Lugumi kila mtu anaijua lakini haijaongewa bungeni?
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh, kweli mkuu hawa wanaweza kutupiga mnada bila wenyewe kujijua....salute sana mkuu!!!!
 
Huwa sipendi sana tabia ya mtu kutafuta sababu ya kuhalalisha jambo kwasababu eti na mtu mwingine anafanya hivo .Nape akisema eti nchi nyingi za jumuia ya madola zina bunge studio , kwahiyo kama zina huo utaratibu kwanini haukuwepo zamani .na je hizo nchi zikianza kurusha live mtaanza na nyie kurusha live. Waziri amekosa hoja amebaki anaungaunga maneno tu . mnaficha nini hamjiamini nini serikali y hapa kaz tu . mm nilitegemea bunge live liwaongezee sifa ya utendaji wenu badala yake mnabinya uhuru wa media. Hata hivo wabunge wengi watoa matusi , vijembe na viroja n wale wa kutoka upande ndiooo nyingi hususani pale wanapozidiwa hoja na upinzani .nahisi hii ndio sababu kuu ya kuzuia kwa kukwepa aibu ukizingatia wapinzan wameongezeka bungeni wanaogopa kupelekeshwa maana this time nguvu ya upinzani n maradufu ya awamu iliyopita na tumeshuhudia upinzani ukiibuia hoja zenye mashiko ,kufichua ufisadi na kutetea wananchi jambo ambalo magamba sio agenda yao kutetea wananchi .
 
Mkuu pamoja na mapungufu ya kikwete lkn angalau kwenye hili alikuwa flexible
 

Tunataka Wabunge wasioleta maendeleo majimboni. Wananchi tuwahukumu majimboni maana kunawabunge wanachaguliwa kwa umaarufu tu hawafanyi kazi kabisa.
 
Naunga mkono hoja
 
WE KILAZA KWELI,, SO WE UTAJUAJE KM MBUGE WAKO ANATETEA MAENDELEO JIMBONI KWAKO BILA KUANGALIA BUNGE.
Kwani likiwa recorded huwezi kuangalia? Kama wewe ni mfuatiliaji huwezi kupitwa hata kama bunge halipo live, enzi hizi si kama zamani, kupata habari ni rahisi, na ndiyo maana wabunge wa upinzani waliposusia kikao cha bunge tulijua hata kama hawakuwa live.
 
"Unataka uonekane live kwani unatafuta mchumba? "
Juma nkamia (mb)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…