Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Wewe jamaa unajua kazi za mbunge wako?hilo ni jukumu la serikali, bunge kazi yake ni kuhakikisha serikali inayatekeleza haya, sasa kama Bunge likiminywa na kushindwa kuibana serikali maumivu ni kwa wananchiKuna wabunge hawawezi kazi kabisa ila wanajua kupangilia maneno kweli. Wanaishi tu kwenye siasa za live bungeni kwakuzungumza mambo mazito kweli kweli na baadhi ni mahodari wa kudandia Hoja za wenzao. Ukienda Jimboni kwake wananchi wake wanaishi kwenye dimbwi la umasikini, Hawa wabunge hawajitumi kabisa. Hawaanzishi vikoba, Hawaanzishi miradi ya manufaa kwa wananchi wao,wana diplomatic passport lakini hwatafuti wafadhiri. Hebu tuwadhibiti kabisa waanze kufanya kazi Majimboni.
Napeeeeee futiilia mbali mbali mambo live wabunge wawe wanashinda kwa wananchi wakiwahudumia.
Kwahiyo hawawezi kuyatekeleza bila kuwa live?Wewe jamaa ni kilaza, unajua kazi za mbunge wako?hilo ni jukumu la serikali, bunge kazi yake ni kuhakikisha serikali inayatekeleza haya, sasa kama Bunge likiminywa na kushindwa kuibana serikali maumivu ni kwa wananchi
Wewe jamaa unajua kazi za mbunge wako?
Kabla ya kuendelea na mjadala nataka kufahamu unatumia nini kufikiri?kitu kikiwekwa wazi ina watu wanakifahamu na hata wananchi na viongozi wanaweza kuanza ufuatiliaji, lakini kitu kikijadiliwa kwa kufichwa fichwa hata kisipotekelezwa ni nani atakayefahamu?Kwahiyo hawawezi kuyatekeleza bila kuwa live?
Kuna wabunge hawawezi kazi kabisa ila wanajua kupangilia maneno kweli. Wanaishi tu kwenye siasa za live bungeni kwakuzungumza mambo mazito kweli kweli na baadhi ni mahodari wa kudandia Hoja za wenzao. Ukienda Jimboni kwake wananchi wake wanaishi kwenye dimbwi la umasikini, Hawa wabunge hawajitumi kabisa. Hawaanzishi vikoba, Hawaanzishi miradi ya manufaa kwa wananchi wao,wana diplomatic passport lakini hwatafuti wafadhiri. Hebu tuwadhibiti kabisa waanze kufanya kazi Majimboni.
Napeeeeee futiilia mbali mbali mambo live wabunge wawe wanashinda kwa wananchi wakiwahudumia.
KWANZA NANI ANAKAA KUTWA NZIMA AKIANGALIA BUNGE NI BORA TUWE WAKWELI.HAWA JAMAA WAMEKOSA HOJA SASA WAMESHIKILIA HAPO HAPO ILI WANANCHI WAWAHURUMIE.KAMA KWELI TUNATAKA KUFANYA KAZIKuna wabunge hawawezi kazi kabisa ila wanajua kupangilia maneno kweli. Wanaishi tu kwenye siasa za live bungeni kwakuzungumza mambo mazito kweli kweli na baadhi ni mahodari wa kudandia Hoja za wenzao. Ukienda Jimboni kwake wananchi wake wanaishi kwenye dimbwi la umasikini, Hawa wabunge hawajitumi kabisa. Hawaanzishi vikoba, Hawaanzishi miradi ya manufaa kwa wananchi wao,wana diplomatic passport lakini hwatafuti wafadhiri. Hebu tuwadhibiti kabisa waanze kufanya kazi Majimboni.
Napeeeeee futiilia mbali mbali mambo live wabunge wawe wanashinda kwa wananchi wakiwahudumia.
lakini kitu kikijadiliwa kwa kufichwa fichwa hata kisipotekelezwa ni nani atakayefahamu?
SO WE UTAJUAJE KM MBUGE WAKO ANATETEA MAENDELEO JIMBONI KWAKO BILA KUANGALIA BUNGE.
kipimo cha maendeleo jimboni sio kuonekana live bungeni..bali ni uhalisia wa maisha ya wananchi jimboniSO WE UTAJUAJE KM MBUGE WAKO ANATETEA MAENDELEO JIMBONI KWAKO BILA KUANGALIA BUNGE.
Unachekesha ndugu yangu. Kuonyeshwa kuwa mbunge wako ni kilaza ili mumpige chini hamtaki. hatua moja mbele, hatua tano nyuma. hapa kazi tu.Kuna wabunge hawawezi kazi kabisa ila wanajua kupangilia maneno kweli. Wanaishi tu kwenye siasa za live bungeni kwakuzungumza mambo mazito kweli kweli na baadhi ni mahodari wa kudandia Hoja za wenzao.
Ukienda Jimboni kwake wananchi wake wanaishi kwenye dimbwi la umasikini, Hawa wabunge hawajitumi kabisa.
Hawaanzishi vikoba, Hawaanzishi miradi ya manufaa kwa wananchi wao,wana diplomatic passport lakini hwatafuti wafadhiri. Hebu tuwadhibiti kabisa waanze kufanya kazi Majimboni.
Napeeeeee futiilia mbali mbali mambo live wabunge wawe wanashinda kwa wananchi wakiwahudumia.
Daah!! Kumbe mmo wengi humu?? Basi hii mada naona imeozaNaunga mkono hatamie
Hawa wabunge wetu wengi wanapenda kuonwa wakifanya mambo ya hovyo bungeni
Inakuwa kama mtaji wao kisiasa
Mambo ya hovyo yanakuwaje mtaji wa kisiasa?Naunga mkono hatamie
Hawa wabunge wetu wengi wanapenda kuonwa wakifanya mambo ya hovyo bungeni
Inakuwa kama mtaji wao kisiasa
Kijana PascoKuna wabunge hawawezi kazi kabisa ila wanajua kupangilia maneno kweli. Wanaishi tu kwenye siasa za live bungeni kwakuzungumza mambo mazito kweli kweli na baadhi ni mahodari wa kudandia Hoja za wenzao.
Ukienda Jimboni kwake wananchi wake wanaishi kwenye dimbwi la umasikini, Hawa wabunge hawajitumi kabisa.
Hawaanzishi vikoba, Hawaanzishi miradi ya manufaa kwa wananchi wao,wana diplomatic passport lakini hwatafuti wafadhiri. Hebu tuwadhibiti kabisa waanze kufanya kazi Majimboni.
Napeeeeee futiilia mbali mbali mambo live wabunge wawe wanashinda kwa wananchi wakiwahudumia.
Sasa ni bora ikawa live ili kama ni matusiJKikao cha bunge ni kikao cha kikazi sio mkutano na waandishi wa habari (press conference).kuna tofauti ya kikao cha kikazi na press conference! Wanaotaka kugeuza bunge kuwa press conference ambamo muda wote waandishi wa habari wamo hawako sahihi
Wabunge wakishakaa na kumaliza kazi ya siku ndio taarifa za yale muhimu ya kazi na matokeo waliyofikia yanawekwa hadharani na maofisa habari wa bunge
Taarifa hizo haziwi na vitu vya kipuuzi kama vile vya mbunge gani amemtukana waziri au mbunge fulani kwa kumwita Kibaka nk.Zinakuwa na zile taarifa muhimu tu za kazi waliyofanya kwenye vikao.
Ikumbukwe pia kuwa Vikao vya kamati za bunge huwa havirushwi Live sababu ni vikao vya kikazi.Na kikao cha bunge ni kikao kikuu cha kikazi sio press conference .Sasa hivi wabunge watafanya kazi barabara kuliko zamani ambapo mara ingine mtu anaomba kuchangia ili tu auze sura kwenye TV aonekane.Wachangiaji unakuta wako msururu wakipigania tu kuonekana!!! Sasa hivi bunge litakuwa na wachangiaji very serious ambao wana hoja za nguvu na si wauza sura kwenye TV
Bunge la Tanzania litakuwa bunge la mfano la kuigwa duniani kwani litatoka na vitu serious vilivyofanyiwa kazi barabara na wabunge serious na habari zitakazotolewa ni zile za HAPA KAZI TU na si zile za mara mbunge kapigwa picha anasinzia bungeni nk
Pia Kazi kuu ya mbunge (Major duty) ni kuleta maendeleo kwenye jimbo lake anakotokea na si kuongeaa sana na kuchonga sana mdomo bungeni na kuanika sura sana kwenye kamera za Televisheni akiwa bungeni.Kuna wabunge majimboni hata kuwaona na kuwakuta ofisini kwao majimboni ni shida.Wao husubiri tu muda ufike wa bunge wachonge midomo na kuuza sura kwenye TV.