Naundiwa zengwe nipewe mke kwa nguvu.

Naundiwa zengwe nipewe mke kwa nguvu.

Lakini kweli Mkuu utachovyachovya mpaka line umri unakwenda? Au unataka mtoto aje akuite babu?
 
Mkuu JEKI, wewe ni rafiki yangu mkubwa, naomba nikushauri kitu.

Kama kweli unataka ufanikiwe kuliepuka hilo janga (ofcourse kuoa si lazima),

naomba ujiundie tume binafsi ya mpango mkakati (strategic planning!)

watumie majirani zako hao hao wanaokusema, wape info kwamba unataka kuoa lakini baada ya miaka mitatu hivi (long distance hiyo ujue), wape moyo na maneno yenye asali, wanunulie vibia viwili vitatu hivi siki moja!

Nakwambia urafiki utashika mpaka ushangae mwenyewe!

Usnitch utaishia hapo! Ukijifanya mgumu, utarogwa kweli JEKI. Ohoo!

nimupokea ushauri wako mkuu, thenks.
 
Kwani wewe unaona siyo halali
Nimekuwa nikisikia mijadala pembeni kwa watu, mtaani wanahoji mbona sioi wakati mimi ni afsa serikalini na umri umeenda? wengine wanaenda mbali zaidi na kunichunguza napendelea mwanamke wa aina gani, leo kwa masikio yangu nikiwa nimejibanza kwenye kona nimemsikia jirani yangu wa kike akiongea na mwenzake, eti wanaambiana kwa nini tusimtafutie mbinu tumpe mke ukizingatia mtu mwenyewe ana bodaboda 2 na amejenga nyumba ya chumba na sebure? kwa kweli kwa uwezo huo mtaani kwetu wewe ni mtu wa kuheshimika, wanasema ikibidi hata kwa waganga waende tu, mmoja anakoleza kwa kusema tumechoka, sasa wamechoka vipi wakati hayawahusu. Sijui cha kufanya, napanga niwavae kuwaambia nimewasikia na waendelee na mpango wao ili kuwatisha.
 
Back
Top Bottom