Naundiwa zengwe nipewe mke kwa nguvu.

Naundiwa zengwe nipewe mke kwa nguvu.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Nimekuwa nikisikia mijadala pembeni kwa watu, mtaani wanahoji mbona sioi wakati mimi ni afsa serikalini na umri umeenda? wengine wanaenda mbali zaidi na kunichunguza napendelea mwanamke wa aina gani, leo kwa masikio yangu nikiwa nimejibanza kwenye kona nimemsikia jirani yangu wa kike akiongea na mwenzake, eti wanaambiana kwa nini tusimtafutie mbinu tumpe mke ukizingatia mtu mwenyewe ana bodaboda 2 na amejenga nyumba ya chumba na sebure? kwa kweli kwa uwezo huo mtaani kwetu wewe ni mtu wa kuheshimika, wanasema ikibidi hata kwa waganga waende tu, mmoja anakoleza kwa kusema tumechoka, sasa wamechoka vipi wakati hayawahusu. Sijui cha kufanya, napanga niwavae kuwaambia nimewasikia na waendelee na mpango wao ili kuwatisha.
 
Apataye mke apata kitu chema....
 
una bahati unaundiwa tume ili upewe mke .... subiria mchakato uka,milike sasa acha haraka mkuu'.............
 
ni kweli ila si katika mazingira ya kulazimishana namna hii.

lazima ulazimishwe pale unapo onekana ueleweki..... fanya oa kabla majibu hayajatoka ya kamati yao ya kukupa mke mkuu............
 
Pole sana aseee, itakua umezid kuwagongea watoto n wadogo zao mtaani khaaaaa
 
sasa hapa ndo unahisi umewaambia.. Povu kweli wewe.
 
ni kweli ila si katika mazingira ya kulazimishana namna hii.

Kwani kuna mtu aliyekulazimisha mkuu?

Kusikia watu wakiongea na kulazimishwa ni mambo mawili tofauti...
 
Back
Top Bottom