Naumwa

Naumwa

Kufa bas tule pilau :biggrin1::biggrin1:

Mwaya polee labda unaumwa ugonjwa wa bhoke wa big brother :tonguez::tonguez:
 
Pole sana speaker,ila nadhani itakuwa ni shingo kutokana na kutikisa kichwa bila kupumzika.
 
Umewahi kusikia mahali kunaitwa samunge? Panaweza kukusaidia :dance::dance::dance::dance::dance:
 
Umewahi kusikia mahali kunaitwa samunge? Panaweza kukusaidia :dance::dance::dance::dance::dance:

Labda pakiletwa huku,ila porini siendi mie
 
Get well soon best!!!!

Asante,
Kama kuna ukweli nataka kusema kuhusu avatar basi ni kuhusu avatar yako,...
Kila napo iangalia nahisi kizungu zungu sijui macho mangapi vile,...

Agggr,badilisha bana,haraka
 
Back
Top Bottom