Oi wataalam wa mambo. Nimeenda famasi kununua dawa ya tonsezi cha ajabu nimepewa AZUMA - 250
Kinacho nipa hofu ni kwamba kupitia uzi wa kula kimasihala niliona hizi wadau walitumia kujitibu kisonono na kaswande vipi wakuu huyu dada alie nipa hizi yupo sawa?