Toka juzi naumwa yaani kuna saa nasikia bariidii
Kuna saa nasweat Sana hasa usiku
Halafu sina nguvu wala appetite
Na mdomo mchungu
Pia sina nguvu
Sitaki kwenda hosptal
Naombeni mniambie dawa ya kutumia najua wataalamu wengi humu
Pole. Na mimi nilikua naumwa hivyo hivyo nikajikausha kama siku 4 nikaona nitafia ndani. Jitahidi uende hospital mama kukaa na ugonjwa nyumbani si kitu kizuri.
Niambie ulipo ili nije faster nikufanyie maombi. Mimi ni Nabii maarufu sana hapa nchini. Nikikuwekea tu mkono kichwani, mapepo yote yanakimbilia kusikojulikana.