Ushapima ngoma?
Ngoma ni kama mafua tu
Mbona mie nakuchit kila siku na huniambii kupima??
Mimi na wewe tumejaliwa kuwa 'discordant' couple.
Mnase kibao,Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.
pole sana, nakushauri kaa kimya hivyohvyo en am tellng you atajifunza na hata rudia kamwe!! Hiyo ndiyo silaha pekee kama bado unampenda kwa dhatinimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.
Kumbe wee unao??
Mie sina mbona?
wewe huko gesti hausi ulikwenda kwa nia gani?
Hao watu si wema hata kidogo bc tu walitaka kukua mtoto wa watu,cha msingi kwa mda huo wote tayari ulisha samehe,ngoja nikuulize swali mnalala kitanda kimoja au kila mtu cha kwake? na chumba?niliitwa kushuhudia na watu wema kwangu