Naumia sana na Njombe yangu

Naumia sana na Njombe yangu

kurudia uchaguzi hapa bara eti kisa uchaguzi umekuwa si wa haki kwa wabunge itakua ngumu saana, kwani hata hcho chombo kitakacho sikiliza hizo kesi kinaundwa na nani?[

Lakini mwisho wa ubabe umekaribia ogopa umemkosea mtu alafu amenyamaza mara nyingi hata km amekusamehe lakini hasahau kamwe. Wasione ukimya wa Ukawa wakadhani wamemaliza kazi.

ngoja 2xubir ili 2fahamu ni nin kitaendelea!
 
ila njombe inajengeka fasta.mnatoa wapi pesa za kujengea mahoteli?
 
umeeleweka kaka, big up!

Nashukuru sana kama umenielewa, Vijana na hasa wasomi wa njombe, tuziangalie fulsa zilizopo katika maeneo yetu. Tujitolee kutoa elimu kwa waliokaribu yetu kuziona fulsa hizo na mwisho tuwape ujasili na moyo wa uzalendo wa kuchangia hali na mali katika ufanikishaji wa kuzifikia fulsa hizo.

Nimetoa mfano wa Filikunjombe (Mwenyezi Mungu Amlaze Mahala Peponi) Aliiona fulsa ya Liganga na Mchuchuma kama kitovu cha uchumi kwa wana Ludewa, Akawaelimisha, akawahamasisha webebe nguzo za umeme na kuzisimika ardhini,
wachimbe mitaro na kupitisha mipira ya maji akijua mwisho wa siku Wana Ludewa kwa huduma hizo za maji na umeme watanufaika kwa Chuma na Makaa ya Liganga. fulsa itakayopaisha ubora wa maisha ya wana Ludewa.

Njombe yetu ina fulsa kibao kuanzia kwenye kilimo cha biashara ya mbogamboga, matunda hadi mazao ya misitu, Udongo tu wa njombe ni mali unaweza kukupatia tofari za hydro-foam ambazo zingetumika kujengea ofisi serikali ya mkoa na wilaya mpya Njombe. Lakini inasikitisha fulsa hizi zitaonwa na wageni lakini sisi vijana tuliobahatika kufika mijini tukirudi nyumbani tunataka kuwaonyesha wenzetu tunajua kuongea sana siasa badala ya kuonyeshana fulsa hizo na namna ya kuziendeleza kwa faida yetu. Tuache zile za "U Nkinga ndili Nkinga lakini ndili born town bwana"
 
kwa katiba hii na tume hii hakuna sababu ya upinzani kushiriki uchaguzi maana kura haina maana yeyote,mbowe na timu yake wameshindwa kutupatia katiba mpya tume huru na kutupeleka kwenye uchaguzi bila tume huru katiba mbovu waachie ngazi
 
ni kwel.........
 
Binafsi, nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa uzima mpaka muda huu.

Nikiwa kama mzaliwa na mkazi wa mkoa wa Njombe katika jimbo la Njombe Kusini, nimeumia saana kuona chama cha mapinduzi (CCM) kikimpeleka mgombea ubunge kupitia chama hicho bwana Mwalongo bungeni wakati chini ya aliyekuwa mbunge kupitia chama hicho Bi Anne Makinda kutofanya jambo lolote la maana katika jimbo letu.

Nilitumai kijana mwenzetu Masonga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) atuwakilishe wana wa Njombe Kusini bungeni.

2020 Tutajipanga Kimkakati kuuondoa utawala wa CCM katika jimbo la Njombe Kusini na kuivisha taji CHADEMA.
Huyu jamaa mwondoeni haraka hana lolote pamoja na rwenge bila kusahau jaha people yule darasa la saba
 
Kiujumla Njombe ni shiiiiiiida ( In Komba's voice) kuna lile jimbo la Lupembe kuna kata Lupembe na Mfriga zina madiwani wa Hovyo kabisa haijawahi tokea No wonder why Njombe ipo ipo tu licha ya kuwa na Rasilimali nyingi wananchi wachapakazi lakini Maarifa 0
 
Wana bahati ya kuwa na viongozi wapumbafuu
 
Nilishangaa kuona jamaa wanamchagua diwani Tapeli diwani ambaye hajawahi kuwa na shughuli yeyote ye full utapeli lakini akapata kura za kutosha.Shida ya kata ya Lupembe na lile jimbo la Lupembe kiujumla ni exposure na Elimu.Tupo nyuuuuuma mno.Pombe tu na chumvi na T-shirt na ngoma inatosha kumnunua mtu
 
kwa katiba hii na tume hii hakuna sababu ya upinzani kushiriki uchaguzi maana kura haina maana yeyote,mbowe na timu yake wameshindwa kutupatia katiba mpya tume huru na kutupeleka kwenye uchaguzi bila tume huru katiba mbovu waachie ngazi
Kwa level ya Udiwani mie siamini kama kura huwa zinaibiwa.Ila mie nionacho na ka uzoefu kangu ka chaguzi kadhaa ni kuwa Watanzania tumerogwa na tuliporogwa kwenye Elimu.Tumekosa elimu.May be hiki kizazi kijacho cha shule za kata hata kama wanapata sifuri kinaweza tusaidia
 
Back
Top Bottom