Naumia moyoni

Wrong forum, peleka habar yako kwny jukwaa la mapenzi na mahusiano, hili ni jukwaa la siasa, jifunze kusoma na kuelewa. By the way pole kwa mkasa uliokupata na chamsingi muite uongee naye ndiyo njia pekee ya kuleta maelewano kama hakutaki tena basi.
 
Wadau habari,nina mchumba wangu ambaye uchumba wetu ni wa miaka 3.Mimi ni mfanyabiashara yeye amemaliza chuo mwezi huu.Wakati anasoma chuo mimi ndio nilikua namsupport ada pamoja na mahitaji mengne.Naumia moyoni kwa sababu alipokua chuo na mpaka sasa uku nyumbani huwa anatabia ya kuchat na jamaa mmoja waliosoma wote kupita kiasi afu ni romatic chat.Kinachoniuma mm ni kwamba nimeshalipa mahari kwao na tutafunga ndoa miezi 5 ijayo why asichat na mimi mume wake mtarajiwa before hajafahamiana na uyo jamaa tulikua tunachat mpaka sasa 6 ucku.Je wadau hapo kuna upendo kweli?Au nimuoe afu nimpige taraka?.Naomba kuwasilisha.

kila abiria achunge mzigo wake, sasa kama umeshindwa kuchunga mzigo wako sijui unamdai nani!
 
mmh, huo ni mtihani mkuu... mkalishe chini mpige shule kwamba hupendi tabia yake ya kuchat na vidume vingine... asipoelewa somo, anza kuchukua hatua
 
Pole sana. Fanya fasta tupa kule kimeo hicho!

Hata hivyo umekosea jukwaa
 
mito aliwahi kusema hivi watu kwanini anajiingiza kwenye magharama ya kusomesha wachumba? pia aliendela na hayo ndio matokeo wewe unakuwa umeinvest kwake na yeye anakuwa ameivest kwa mwingine.

huyu kaka namuhurumia kwa hili kwamba huyu binti anayeampendaye na wala sihitaj kumtia moyo. anayependwa ndiye anayeflirt na binti siku nzima ila yy kijana katumika tu ili amsomeshe. Akili za watu wengine zinaudhi kweli. kaka skiliza yaani hata kama ni mahari umeshatoa najua unampenda ila sitisha ishu yandoa mwambie aende kwao akajirekebishe kwanza na asiporekebika basi. najua ataumia lkn utamfunza kuwa na heshima.
 
Last edited by a moderator:
Ukikuta manyoya ujue keshaliwa. Hizo ni dalili za wazi kabisa kwamba huyo jamaa keshamla na amemsugua vizuri kuliko wewe. Hapo harekebishiki tena. Labda wewe "ukachezwe" umzidi jamaa. Otherwise hata mkifunga hiyo ndoa, bado ataendelea na jamaa tu maana "anaona utaaaamu".
 
dah yani wanaume mweee hawachoki hizi ishu za kusomesha wadada , mii kuna mtu namfahamu yani alijitoa kimasomaso kamlipia demu wake aliyezaa nae mtoto moja kamlipia ada kasoma London degree yake jamaa alikuwa anatuma hela za matumizi akawa anapanga mikakati ya harusi ili demu akirudi wafunge ndoa , dah jamaa akakuta manyoya tu demu kang'ang'ania London anasema kapata mshkaji mwingine jamaa hana hamu hataki tena demu . hivi nyie wanaume kwanini umsomeshe mdada wa watu kwani hana wazazi wake ebbo
 
Zungumza nae umweleze kutopendezwa na hicho kitu...ama sivyo ghairi harusi muone kweli mnaclick ama sivyo kadai mahari yako bwana.
 
Umeliwa, kapata msomi mwenzake hawezi olewa na mfanya biashara, ulikuwa wamlipia ADA Wewe Babake? Ujinga huo.



QUOTE=kashata;4306775]Wadau habari,nina mchumba wangu ambaye uchumba wetu ni wa miaka 3.Mimi ni mfanyabiashara yeye amemaliza chuo mwezi huu.Wakati anasoma chuo mimi ndio nilikua namsupport ada pamoja na mahitaji mengne.Naumia moyoni kwa sababu alipokua chuo na mpaka sasa uku nyumbani huwa anatabia ya kuchat na jamaa mmoja waliosoma wote kupita kiasi afu ni romatic chat.Kinachoniuma mm ni kwamba nimeshalipa mahari kwao na tutafunga ndoa miezi 5 ijayo why asichat na mimi mume wake mtarajiwa before hajafahamiana na uyo jamaa tulikua tunachat mpaka sasa 6 ucku.Je wadau hapo kuna upendo kweli?Au nimuoe afu nimpige taraka?.Naomba kuwasilisha.[/QUOTE]
 
Mh ! Siku hizi vimeo vingi jamani kabla ya harusi kanachapwa nje na harusi jmosi kakitoka honeymoon tu gesti na mshkaji wake ambaye kenyewe kana mwita wa ukwehe .. aaaaaaaaaargh totally pissed off.
 
Kwa mchumba wangu kwao hawapo fresh kipesa na alikosa mkopo ndio maana nikaamua kumsaidia kipesa
Umeliwa, kapata msomi mwenzake hawezi olewa na mfanya biashara, ulikuwa wamlipia ADA Wewe Babake? Ujinga huo.



QUOTE=kashata;4306775]Wadau habari,nina mchumba wangu ambaye uchumba wetu ni wa miaka 3.Mimi ni mfanyabiashara yeye amemaliza chuo mwezi huu.Wakati anasoma chuo mimi ndio nilikua namsupport ada pamoja na mahitaji mengne.Naumia moyoni kwa sababu alipokua chuo na mpaka sasa uku nyumbani huwa anatabia ya kuchat na jamaa mmoja waliosoma wote kupita kiasi afu ni romatic chat.Kinachoniuma mm ni kwamba nimeshalipa mahari kwao na tutafunga ndoa miezi 5 ijayo why asichat na mimi mume wake mtarajiwa before hajafahamiana na uyo jamaa tulikua tunachat mpaka sasa 6 ucku.Je wadau hapo kuna upendo kweli?Au nimuoe afu nimpige taraka?.Naomba kuwasilisha.
[/QUOTE]
 
Good idea nataka nikishamuoa nimpige mimba 2 za haraka nitakua nimeshamkatia network zote

Nani kakudanganya! Kwani hizo mimba atabeba milele? Kama tabia zake huzipendi na harekebishiki muache mapema,usije kutesa watoto wako bure.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom