Naumia moyoni

Painful truth: labda ur chats are no longer interesting? Jamani kuna watu hawajui kuchat, na wanang'ang'ania tu mnaishia kuboana!
Well, zungumza nae. Muulize kama wewe ukiwa na mdada wa kuchat nae romantically kama anavyofanya atamind? Muambie unamiss kuchat na yeye like before. Lakini kama hatojali utajiruhusu kuchat na mdada mwingine ili usiendelee kuumia. Kumpa mtu anywe dawa aliyotengeneza really works, trust me!

Naomba nikuhakikishie, hizo mimba 6 za chapchap (kama hatokuzidi maarifa) haziwezi kumzuia kufanya anachotaka.
 
Wrong forum, peleka habar yako kwny jukwaa la mapenzi na mahusiano, hili ni jukwaa la siasa, jifunze kusoma na kuelewa. By the way pole kwa mkasa uliokupata na chamsingi muite uongee naye ndiyo njia pekee ya kuleta maelewano kama hakutaki tena basi.
KV LONDON jina lako limenigusa kwa namna moja au nyingine lol!
 
Last edited by a moderator:
Wadau habari,nina mchumba wangu ambaye uchumba wetu ni wa miaka 3.Mimi ni mfanyabiashara yeye amemaliza chuo mwezi huu.Wakati anasoma chuo mimi ndio nilikua namsupport ada pamoja na mahitaji mengne.Naumia moyoni kwa sababu alipokua chuo na mpaka sasa uku nyumbani huwa anatabia ya kuchat na jamaa mmoja waliosoma wote kupita kiasi afu ni romatic chat.Kinachoniuma mm ni kwamba nimeshalipa mahari kwao na tutafunga ndoa miezi 5 ijayo why asichat na mimi mume wake mtarajiwa before hajafahamiana na uyo jamaa tulikua tunachat mpaka sasa 6 ucku.Je wadau hapo kuna upendo kweli?Au nimuoe afu nimpige taraka?.Naomba kuwasilisha.

RED : U made my day on this!

Mkuu labda tuanze na definition ndo tutaelewana

Marriage of love : Mutual love between the two parties is the bond. (love <--> love)
Marriage of convenience : A certain factor that is either convenient to both sides or convenient to one while love drives the other part holds the bond.(convenience<-->convenience or convenience <--> love )

Note: Inawezekana kabisa type zote zikaresult in a stong marriage where the couples love each other truly, those are just the enviroments that lead to the formation of the marriage.

Unapoamua kumsomesha mtu ukitarajia kuwa ni lazima akubali muoane ina maana umeamua mwenyewe kuintroduce a convenience kwenye mahusiano na mpenzio atakuwa na two driving forces (the love she has for you and the convenience she gets from you)...so love ikiisha convenience inaweza saidia mkaoana. sasa hapo ndio ndoa inabadilika na kuwa 'marriage of convenience'

Is that what you want?
Binafsi naona ukiamua kumsomesha mtu basi ujitolee kwamba hiyo si guarantee ya ndoa. bado love ndio iwe guarantee.

NOTE 2 : She is taking the precious time of your relationship and sharing it with external party so that is purely cheating.
 
Good idea nataka nikishamuoa nimpige mimba 2 za haraka nitakua nimeshamkatia network zote
hii sio solution.ameshakuona humfai tena.iweje mwanzo muwe mna chati usiku,baadae aanze kuchati na mwengine?mwambie achague mmoja,kama ni wewe,aachane kuchati na huyo jamaa na kama huyo jamaa,ndoa isiwepo tena.otherwise utaishia kujitesa tu,kisa mapenzi
 
jamani wanaume mbona mnakuwa na hii tabia ya kulipia ada na kuexpect marriage in return..wewe lipa ada alafu una mgegeda tuu....ndugu yangu siku hizi watu wasanii wanakuwa kwenye relationship for various reasons...potezea huyo
 
mmh, huo ni mtihani mkuu...
mkalishe chini mpige shule kwamba hupendi tabia yake ya kuchat na
vidume vingine... asipoelewa somo, anza kuchukua hatua

Hapo hakuna somo tena wala nini! huyo dem ni wa kupigwa chini tu,maana atakuja kumuumiza moyo mshkaji kinoma! bora amteme mapema na atafute mbadala fastaaa!
 
Sawa mkuu lakini nimeshapoteza pesa nyingi wacha anizalie watoto kama ataendelea kuzingua namwaga
Nani kakudanganya! Kwani hizo mimba atabeba milele? Kama tabia zake huzipendi na harekebishiki muache mapema,usije kutesa watoto wako bure.
 
Good idea nataka nikishamuoa nimpige mimba 2 za haraka nitakua nimeshamkatia network zote

Aah wapi!! Hiyo siyo suluhu hata kidogo kwa binti mkware. Sana sana utakuwa ume "complicate equation" ya mahusiano yenu kwa kuingiza watoto wawili ambao juwezi hata kuwa na uhakika kuwa wote ni wako. Wengine wakishazaa ndio wanapendeza zaidi na kutakwa ka nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi na wapenzi wao wa zamani.
 
Good idea nataka nikishamuoa nimpige mimba 2 za haraka nitakua nimeshamkatia network zote

hivi who told you kwamba mimba inamuadabisha mwanamke? ingekuwa hivyo basi tusingekuwa na watu wazazi kwa maana wametoka kujifungua na wakawa na mahawara nje ama tusingekuwa na watu wenye mmba kisha wanatembea nje. kwa taarifa yako mwanamke mwenye mimba ni mtam balaa {source wanaume wakware} so ukimmimba umewapa wenzio chance ya kummwekea maskio na miguu mwanao.

ushauri wangu unabaki palepale kwamba mrudishe kwao na mwambie kabisa wewe unaflirt na huyu jamaa nenda kwenu kajifunze nidhamu kama ukirekebika ndoa itapita hujarekebika kaolewe huko unapopataka. Tabia ya mtoto wa kike asiye ridhika wala kushukuru ni mbaya sana ina maana hutokaa umfanyie chochote huyu aridhike na anaona ni haki yake and to her anafanya hivyo kwakua anajua umemlipia ada moja na pili umeshamtolea mahari so huwez kabisa kumwacha hata ukimkuta kwenye kosa gani. Boy be a grown up man aaaagrrrrr!
 
pole sana kaka, umeshawahi kuongea naye juu ya hilo? kama bado fanya hivyo sasa ili ujue msimamo wake mapema kabla hujafika mbali. Pia msijifanye baba wa wachumba zenu kabla hata hujajua msimamo wake ingawa najua ulifanya hivyo kwa ajili ya mapenzi. kuoa na kumuacha sdhani kama ni suluhisho ni kupeteza muda na fedha pia. mweke kitako ili ujue kama uko in au out.
 
kitu kizur ni kuwa bado hujamuoa,mwambie ukweli wake akizingua chapa lapa
 
Wadau habari,nina mchumba wangu ambaye uchumba wetu ni wa miaka 3.Mimi ni mfanyabiashara yeye amemaliza chuo mwezi huu.Wakati anasoma chuo mimi ndio nilikua namsupport ada pamoja na mahitaji mengne.Naumia moyoni kwa sababu alipokua chuo na mpaka sasa uku nyumbani huwa anatabia ya kuchat na jamaa mmoja waliosoma wote kupita kiasi afu ni romatic chat.Kinachoniuma mm ni kwamba nimeshalipa mahari kwao na tutafunga ndoa miezi 5 ijayo why asichat na mimi mume wake mtarajiwa before hajafahamiana na uyo jamaa tulikua tunachat mpaka sasa 6 ucku.Je wadau hapo kuna upendo kweli?Au nimuoe afu nimpige taraka?.Naomba kuwasilisha.

Stori za kuchat na wewe zimeisha. Kila siku mkianza kuchat unaongelea hiyo ndoa yenu. We hujui anaboreka?
 
Kweli wewe ni kashata!!!!!
Pamoja na elimu yako yooote hiyo bado unafikiria eti umuoe halafu umuache??? Kwanini ujisumbue kote huko???
Kaa naye chini mweleze ya kuwa hiyo tabia huipendi na km ataendelea piga chini tafuta mwingine atakaekusikiliza na kukuheshimu muoe ndie anakufaa kuwa mkeo. La sivyo kubali kushare na njemba ambaye huyo mwingine, pia yawezekana unakula makombo vizuri anakula yuleee
 
Hizi habari za kusomesha wanawake ndio hapo mnapoharibu!! tena vyuo vyenyewe ndio hivi vyenye visharobaro kibao!! ......ungetakiwa umtie mimba kwanza akishazaa ndio uanze kumsomesha, hata ukimegewa haiumi saana.
 
Back
Top Bottom