Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,882
- 16,471
Mche mmoja mmoja unauwezo wa kuvuna kiasi gani kwa wiki?ndio boss inastawi bila shida kabisa.Strawberry inahitaji sehemu yenye joto kiasi,udongo wa tifutifu na wenye rutuba.Lakini pia Miche hii inahitaji sehemu yenye maji ya uhakika sababu unahitaji maji ya kutosha.
Mavuno ni baada ya mwezi mmoja tangu kupanda na kuanzia hapo unavuna kila week.
Matunda/Miche mingine inastawi vizuri ni Papai,Embe,Chungwa,Parachichi ,pera na passion