Naulizia sabuni na accesories za hotelini

Naulizia sabuni na accesories za hotelini

sushii

Senior Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
121
Reaction score
34
Habari za saa hizi. Naulizia mtu anayefahamu au anayefanya biashara ya vitu vya hotel nikamanisha zile chupa ndogo za shampoo, shower gel, sabuni ya kawaida, na dawa ya mswaki na je anaweza supply zikiwa na jina la hoteli stahiki akipewa? Location ya hoteli ni Dar es salaam. Kama upo na una sample ni vyema ukaambatanisha.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Nina jamaa yangu anafanya hiyo biashara hapa Arusha,ukitaka jina la hoteli yako liwe kwenye hizo products kuna kiwango cha kununua ndio utapata kuweka jina lako kwenye bidhaa zao,otherwise kama unachukua kiasi kidogo hataweza kuweka jina la hoteli yako au logo.
Yeye huwa anachukua bidhaa hizo China.
Ukiwa inetresting tuwasiliane.

Habari za saa hizi, naulizia mtu anayefahamu au anayefanya biashara ya vitu vya hotel nikamanisha zile chupa ndogo za shampoo, shower gel, sabuni ya kawaida, na dawa ya mswaki na je anaweza supply zikiwa na jina la hoteli stahiki akipewa? Location ya hoteli ni dar es salaam..kama upo na una sample ni vyema ukaambatanisha ..natanguliza shukrani zangu
 
Hiyo dawa ya mswaki ni kitu gan hicho? Kweli ckifaham kbs.
 
Ya meno mkuu ila uswazi ndo twaita ivo kama dawa ya panya badala ya sumu ya panya

Tuna kampuni Yetu, we source and supply cleaning materials as required by customers. unatakiwa utupe Keisha, aina na idadi ya items hizo sisi tutakupa price quotation. tupm
 
Tuna kampuni Yetu, we source and supply cleaning materials as required by customers. unatakiwa utupe Keisha, aina na idadi ya items hizo sisi tutakupa price quotation. tupm

Mkuu nashukuru sana, keisha ndo nini? Naulizia showergel, shampoo, sabuni, na dawa ya meno katika ujazo ule wa mdogo. Ila nilitumai wewe kama supplier ndo ungekuwa na basic rate labda ukichuku idadi bei hii na ukichukua idadi hii bei inakuwa ile ingeweza saidia. Kama imeeleweka nifafanulie zaidi hata pm
 
Back
Top Bottom