Sio kwamba anaulizia kamusi kama ile ya TUKI?Nakala laini
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Kichwa cha habari chajielza
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Katoa mfano vzr sanaaphoto (pref) 1 -a mwanga. ~-cell n adj betri ya mwanga. ~-synthesis n usanidinuru. 2 foto. ~genic adj -enye kutoa mwanga; -enye kutoka vizuri katika mwanga. ~finish n mwisho wa karibu mno, ushindi wa kuamuliwa na picha. ~ copy n fotokopi: mashini ya kunakili kwa picha. vt nakili kwa mwanga. ~electric n (phys) -a umeme-mwanga, inayopata umeme kutokana na mwanga. ~print n (print) chapa, foto, picha. ~telegraphy n simu picha.