Nasikia soko la bongo wamechemka, wamefunga ofisiHawa jamaa inaonekana hawana office zao town zaidi ya kwenda kwa mawakala tu,na mawakala ukienda wanaweza wakakupiga bei mpaka ukashangaa.
Asante kaka,ila kabla sijafika huko nataka hii iwe plan b ningependa kwanza niangalie gharama zao hapa zinafananaje may be zinashabihiana so naweza nikatumia njia uliyonishauri ila ikawa sija-save kitu muda na vitu kama hivyo na mimi sio mwenyeji sana wa biashara za mitandaoni.ila nashkuru nitajaribuagiza kwa njia ya ebay.
1.Kafungue akaunt bank abcutapewa kadi siku hio hio
2. Jiunge paypal
3.AJiunge ebay then agiza kifaa unachohitaji kwa p.o.box yako/