Dit000 JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 723 Reaction score 1,091 Mar 27, 2023 #1 Habari wataalamu nauliza fremu za namna hii Zina bei gani?
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,178 Mar 27, 2023 #2 Ungesema hata mahali ulipo maana hivyo vitu vinazingatia na location bei ya buguruni na mafinga ni tofauti
Ungesema hata mahali ulipo maana hivyo vitu vinazingatia na location bei ya buguruni na mafinga ni tofauti