Hili swali tangu jana umekomaa nalo.kwa aliyewahi kutumia vumbi la Congo, anidokeze alipataje, na jinsi ya kutumia.
Ugali.Kwangua chungu cha ugari, ule unga mweusi ndio unga wa kongo.
Una shida gani?, mkuu watu wangekuwa kama wewe cjui ingekuwaje, kama hujisikii kueleza unachojua basi tulia
Hilo vumbi unalotafuta sio solution ya tatizo lako,chochote kinachokupa nguvu za ziada nje ya nguvu za asili ujue kina madhara.inatumikaje? kabla sijaagiza
Nimekuuliza una shida gani coz nimemquote mtu mwingine ila ukakurupuka wewe.wengine watanisaidia sio mpaka wewe....
inatumikaje? kabla sijaagiza
usitumie hayo makitu,boresha lisheni ufanisi umepungua kazi haifanyiki ipasavyo