Nauliza tu!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habhari zenyu binafsi????

Nimewamissjeeeee jukwaa hiliiiiii....

Nauliza hifiii, hivi kwenye Ndege (flight) huwa kuna umemba??? Mfano kwenye mabasi au daladala huwa kuna umemba, devera wa daladala au konda akipanda daladala tofauti na ya kwake halipi hujiita memba.

Je na huko pia upo??
 
dwuh!!! axee ukipata jibu niambie ni shirika gani na mi nienda....
 
Ninavyojua mimi kwa Ethiopian Airline ukisafiri mala tano, yaani tickets 5 wanakupa discount, Emirates nimesafiri nayo mala moja tu sijui wanafanyaje ngoja waje wengine.
 
Ninavyojua mimi kwa Ethiopian Airline ukisafiri mala tano, yaani tickets 5 wanakupa discount, Emirates nimesafiri nayo mala moja tu sijui wanafanyaje ngoja waje wengine.

Nilifikiri unapewa moja bure lols!!!
 
Kwa flights kuna kadi wanatoa ili uwe member wa class flani according to a number of times umewaungisha.
kwa daladala\mabasi wanajiita staffs (dereva vs condackta.
 
ah nafanyia kazi polisi sa sijui ni free pass gani unaongelea

Free pass hata kwenye karandinga... Mfano ukija Mwanza ukiona Karandinga la Gereza la Butimba unaomba lifti kwa vile na wewe ni mtumishi wa jeshi la Polisi hapo si unakuwa memba??
 
Kwa flights kuna kadi wanatoa ili uwe member wa class flani according to a number of times umewaungisha.
kwa daladala\mabasi wanajiita staffs (dereva vs condackta.

Ok.. But je ukiwa na hiyo kadi unaweza kupanda Ndege bure bila kulipia??

Make nijuavyo kwa Precision ukiwa Member wa Paa Royal unapata discount tu....
 
unazungumzia ndege kama ile iliyopotelea bahari za ambali....?
 
Ok.. But je ukiwa na hiyo kadi unaweza kupanda Ndege bure bila kulipia??

Make nijuavyo kwa Precision ukiwa Member wa Paa Royal unapata discount tu....
Ni kweli hata mimi nafahamu habari za discount tu!!
Bure?!?!?!?! bado sijapanda hiyo usafiri kwakweli
 
Yah! Upo lakini kwa dizaini tofauti, sio unajua ndege ni za kwa walionazo! So ukiwanazo na ukakata madaraja ya juu wanakupa service flani bure kwa mfano hoteli usafiri wa kukupeleke hotel nk, Ila ukiwa hutaki hizo wanaweza kukupa free flights
 
unazungumzia ndege kama ile iliyopotelea bahari za ambali....?

Imepatikana mkuu,
chini ya usimamizi mkali wa Eng. watu8 wamefanikiwa kuipata pale picha ya ndege
 
Last edited by a moderator:
Huko angani ukiacha umemba pia kuna kuchimba dawa, kuna siku nikiwa naenda Ulaya rubani alitushusha juu kwa juu tuchimbe dawa halafu tukarejea kwenye ndege na kusonga na safari
 
labda tuwaulize waliowahi kupanda ndege za UNGO kama kuna pass ya memba nako huko?

:flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig:
 
emirates wanayo hiyo...kuna mileages wanahesabu ukizifikisha...unapata safari moja..bure..tena class nzuri..ila mpaka ujiunge
Ni kweli hata mimi nafahamu habari za discount tu!!
Bure?!?!?!?! bado sijapanda hiyo usafiri kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…