MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
haswaa, hapo umenena, na hilo ndo jibuwadau
Je tuseme kuwa Traffick wameshidwa kazi yao au? Maana mimi sielewi
Sasa kama ni hivyo kwa nini hawawajibishwi? Tunatakiwa kujua kwa nini wameshindwa wale ambao wamesomea fani hiyo then turekebishe otherwise tunaongeza gharama bure za kuwalipa majembe.haswaa, hapo umenena, na hilo ndo jibu
nilikuwa na taipu ze same SREDI!.....😀wadau
Naombeni mnijuze ni nini mantiki ya hawa kina Majembe kujihusisha na usafiri mabarabarani hususani katika kuwadhibiti waendesha daladala? Je tuseme kuwa Traffick wameshidwa kazi yao au? Maana mimi sielewi
wote mmeamkia upande mmoja wa kitanda, whast a coincidence!nilikuwa na taipu ze same SREDI!.....😀
UMENIWAHI
Ah pole nilitaka kukuwakilisha nikidhani umeshawekwa ndani tayari kwa the BIG day.nilikuwa na taipu ze same SREDI!.....😀
UMENIWAHI
Nilipokuwa maeneo ya kimara nakuja job...!nimeona kituko cha ajabu!...nimeona foleni na ukiukwaji mkubwa sana wa sheria...!zile mbwembwe za majembe na magari yao na matukutuku yao HAMNA KITU!...na kibaya zaidi ni kwamba traffic police ni kama ''wamejitoa''wote mmeamkia upande mmoja wa kitanda, whast a coincidence!
Sasa kama ni hivyo kwa nini hawawajibishwi? Tunatakiwa kujua kwa nini wameshindwa wale ambao wamesomea fani hiyo then turekebishe otherwise tunaongeza gharama bure za kuwalipa majembe.
Swali 2: Na je hizo faini wanazolipishwa kina daladala za laki mbili hadi mbili na nusu- huwa zinapelekwa wapi kwa sababu inasemekana kuwa hata wakienda mahakamani hawatozwi faini kubwa kiasi hicho.
nnchi ya kitu kidogo, kila mtu anahangaika na kamuhogo kake, kila mtu anahangaika kujenga himaya yake kubwa kiuchumi, sasa ni mashindano ya kuomba na kupokea rushwa...kuanzia ngazi za juu za utendaji hadi kwenye nafasi ya mjumbe wa nyumba kumi...aah WACHA BANASasa kama ni hivyo kwa nini hawawajibishwi? .