Nauliza tu......Ingekuwa wewe Ungereact vipii??!!!

Huyo jamaa hajiamini, na either ni kicheche mshamba! huwezi kumuita wa ubani wako dem.
 
kamusi ya kiswahili kwanza inasema demu ni pira la kusambazia mafuta!!

hata ingekuwa mimi nisingefurahi!!! na ndio ingekuwa mwisho wangu na yy!!

Ungemuacha kisa kakuacha demu au sio??kwa nini tusiwe tunapenda ukweli??hivi unaweza kufanya kwa vitendo kweli???
 
kamusi ya kiswahili kwanza inasema demu ni pira la kusambazia mafuta!!

hata ingekuwa mimi nisingefurahi!!! na ndio ingekuwa mwisho wangu na yy!!

Suzy,
Neno "Demu" sidhani kama ni kiswahili.
Limetokana na "Dame" ambalo ni la kiingereza na halina maana mbaya hivyo kukufanya umwache mpenzi.
Angalia hapa:

Dame:
1. Used formerly as a courtesy title for a woman in authority or a mistress of a household.
2. A married woman; a matron.
3. An elderly woman.
4. A woman (Slang). .

Chiefly British.
1. A woman holding a nonhereditary title conferred by a sovereign in recognition of personal merit or service to the country.
2.The wife or widow of a knight.
3. Used as the title for such a woman.

Source: American Heritage Dictionary
 
Neno DEMU ni kifupi cha maana fulani ambayo ni Daima Epuka Mapenzi Utotoni, hivyo basi kabinti chochote katakachowahi kujiingiza kwenye mapenzi jina linalomstahili ni DEMU.
 
Neno DEMU ni kifupi cha maana fulani ambayo ni Daima Epuka Mapenzi Utotoni, hivyo basi kabinti chochote katakachowahi kujiingiza kwenye mapenzi jina linalomstahili ni DEMU.

Du!
Mupya hiyo njomba!
 
Tatizo ni Binti huyu kuitwa DEMU ndo kilichokuwa kizaazaa hapo PUB!!!

Jamani mimi labda nina mawashawasha machoni,nimesoma mada na kuirudia mara mbili,kweli kabisa sioni tatizo,tatizo ni nini hasa?Susy , LD hebu nifafanulieni kinagaubaga.Natanguliza shukrani.
 
dena umesahau wewe unavyotuita? mara kibajaji mgeni wa vinguguti mara mchati danga, kuitwa dem wote mnapiga kelele poleni

Ha ha ha ha ATM, Sharobaro nk ila umenisingizia mie siwaiti hivyo bana mie ujue nawaheshimu na kuwapenda sina chuki na mtu wala kinyongo bora heshima tu mambo ya demu no big no
 
hahahaaaa. kweli mmetupashika majina mengi hilo la shalobalo au sharobaro huwa sijui manayake nini Dina
Ha ha ha ha ATM, Sharobaro nk ila umenisingizia mie siwaiti hivyo bana mie ujue nawaheshimu na kuwapenda sina chuki na mtu wala kinyongo bora heshima tu mambo ya demu no big no
 
Tatizo ni Binti huyu kuitwa DEMU ndo kilichokuwa kizaazaa hapo PUB!!!
Ahsante Smasher nimeelewa,ila nia na madhumuni ya kukasirika ukiitwa dem siioni maana na sisi wanatupa majina kibao na hatununi mara watuite buzi mara ATM sisi tumenyamaza tu.
 
Hata mimi ningekuwa karibu ningeshuka kwa kitendo alichofanya mdada
mwenzangu, mana kwa karne hii ya sasa mtu unatakiwa kwenda na wakati
kwa kufatilia habarii na kujichanganya na maswala ya jamii inavyokwenda ili
kujua kinacho ingia na kutoka. Mana maneno na misemo inaibuka kila leo na
swala la DEM kwa sasa ni la kawaida sana hata sisi kinadada tunalitumia sana.
Hapo alikosea sana na si msaarabu mana hata kama alikelwa na hilo alitakiwa
kuvuta subira na akangoja wakati wa faragha kumuelewesha mwenziwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom