Nauliza ninahitaji ufafanuzi wenu wadau

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
Habari za muda huu wana JF
nauliza sheria imekaaje kwamba unaweza kugombea mwenyekiti wa kijiji ukashinda then mwaka kesho kwenye uchaguzi wa madiwan ukagombea tena udiwani. Sijui hii inaruhusiwa kisheria.
ASANTENI.
 
Back
Top Bottom