AsanteWamesema hzo uende chuoni direct au jaribu ktk web za chuo husika.
NashukuruWamesema hzo uende chuoni direct au jaribu ktk web za chuo husika.
Mm nafanya maombi hayo na kufungua email kwa 5000 tuuuHabari za wakati huu wanajukwaa,
Naomba mnijulishe jambo fulani, kuhusu namna ya kufanya application kwa course ambazo sio za AFYA na education! (hizi hazifanyiki online, according to NACTE)
Nimejaribu kuangalia baadhi ya vyuo ambavyo vina offer course kama business administration, records mgt(ngazi ya astashahada) sijaona utaratibu wowote uliowekwa.
Tafadhali kama kuna MTU anajua namna na ni lini application zitaanza anielekeze
Na pia, Je? Kama MTU anayetaka kusoma certificate ya community health baadae akishamaliza hiyo course ya mwaka mmoja(community health) ataweza kusoma diploma ya course gani??
Natanguliza shukrani, response yenu itanisaidia sana.
Mimi nawafanyia application na kufungua email address kwa 5000Habari za wakati huu wanajukwaa,
Naomba mnijulishe jambo fulani,kuhusu namna ya kufanya application kwa course ambazo sio za AFYA na education!(hizi hazifanyiki online,according to nacte)
Nimejaribu kuangalia baadhi ya vyuo ambavyo vina offer course kama business administration, recors mgt(ngazi ya astashahada)sijaona utaratibu wowote uliowekwa,,
Tafadhali kama kuna MTU anajua namna na ni lini application zitaanza anielekeze
Natanguliza shukrani.,response yenu itanisaidia sana.
Mawasiliano 07-58494651Mimi nawafanyia application na kufungua email address kwa 5000
nilikuwa nauliza kwa course ambazo sio za online na nimeshapata ufumbuzi.AsanteMimi nawafanyia application na kufungua email address kwa 5000