Nauliza: Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru ni ya CCM?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Wanajamvi:

Nauliza -- hivi maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa nchi yetu ni shughuli ya CCM? nauliza hivi kwani inavyoonekana serikali ya JK ina mipango ya kuteka nyara maadhimisho hayo na kuyafanya ya CCM, siyo ya Watanzania wote. Nimemsikia Nape akitoa taarifa kwamba JK atakutana na mabalozi wa nyumba kumikumi wa CCM ili kutafakari maadhimisho hayo ili akijua wazi kwamba hao kumikumi wa CCM sasa hivi wanawakilisha nusu tu au chjini ya Watanzania wote.

Ili tujuwe tunakokwenda tunaomba serikali ya CCM iliweke wazi suala hili la aadhimisho, itamke iwapo ni maadhimisho ya CCM, ili wananchi wengine wasio wafuasi wa CCM wajue la kufanya.

Nawasilisha.
 
Haya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru kuna wizi tu unataka kufanyika, maana CCM kila kitu ni dili. Tusubiri tuone!
 
Back
Top Bottom