Nauliza lamp ya power point

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,028
Habari za mchana wanajamii?? mie napenda kuulizia kama ile taa ya powerpoint in certain life span na baada ya muda ni lazima ife? if so ni replaceable? na kama ni hivyo vipi upatikanaji wake kwa hapa Bongo?? natanguliza shukurani za dhati
 
Inaitwa projector na siyo power point. Power Point no software ya microsoft kwa ajili ya presentation. Kuna software nyingine nyingi tu ambazo unaweza kutumia kufanya ptesentation kwa kutumia projector.

Tukirudi kwenye swali lako ni kweli zina muda maalum wa kufanya kazi na zinabadilishwa. Eleza make na model ili uweze kusaidiwa
 
Ukibonyena some buttons kwenye projector unaweza kujua masaa magapi imebakia kabla haijafa .sijua bongo upatikanaji wake , Naweza nikakutafutia spare ili mradi unipe model ya hiyo projector yaho
 
Back
Top Bottom