tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,399
- 4,732
Wabobezi wa masuala ya kimataifa, najiuliza kwanini Uingereza anawatishia wenzake (kwa kweli yupo serious sana) kwamba atajitoa EU? Na kwanini members wengine wa EU wanaendelea kuwabembeleza?
Ni vizuri ukioanisha majibu yako na JMT na SMZ, ingawa kuna utofauti wa kimuundo.
Ni vizuri ukioanisha majibu yako na JMT na SMZ, ingawa kuna utofauti wa kimuundo.