Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,412
Jiandae tu kukatwa mkia
Nilisoma hapo form five na tulikatwa mkia na form sixSi kweli
Mkuu mimi nahitaji kujua tu kama comb ipo nimpe muhusika majibu, hayo mengne ni juu ya uwezo wangu.Form 5 ni kupoteza muda tu.
Fungua code mzee umekaza mno.Nilisoma hapo form five na tulikatwa mkia na form six
Kulikuwa na utamaduni kwamba form five wakifika wanakaribishwa na form six kwa kuogeshwa kwa lazima usiku kwenye maji ya baridi yanayo tiririka kutoka mlima Kilimanjaro usiku wa saa sita,kwamba wanatoka stage ya tadpoles kwenda kuwa chura, wenyewe wanaita kukata mkia[emoji23]Fungua code mzee umekaza mno.
[emoji1][emoji16][emoji1] balaa hili.Kulikuwa na utamaduni kwamba form five wakifika wanakaribishwa na form six kwa kuogeshwa kwa lazima usiku kwenye maji ya baridi yanayo tiririka kutoka mlima Kilimanjaro usiku wa saa sita,kwamba wanatoka stage ya tadpoles kwenda kuwa chura, wenyewe wanaita kukata mkia[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji16][emoji1] balaa hili.
Hivi watu kama wewe huwa mnakuwa na kutu kwenye ubongo au ni dalili za madeni yaliyokithiri?Vijana mmekuja kuwaje aisee? Wakati unachagua hiyo kombi hukuwa umejiandaa kusoma? Huu upuuzi wa kuanzisha nyuzi kama hizi unakera sana. Kama umechaguliwa NENDA KASOME ACHA UJINGA.
Kaa kimya.Hivi watu kama wewe huwa mnakuwa na kutu kwenye ubongo au ni dalili za madeni yaliyokithiri?
Huu uzi una tatizo gani? Jambo kama huelewi au linakukera achana nalo kuliko kukwaza wengne.
Wewe ni nani humu JF umekuwa Melo wewe?
Idiot[emoji849]