frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,099
- 1,338
Wakuu naomba kuuliza tu nimeangalia picha nyingi za ziara ya kinana na nape kuna ishara moja wanafanya sanaaa hasa hasa kinana ya DOLE GUMBA (
Kwani chadema wana V ndio ishara yao, vip ccm ndio yao mpya, tazama nape na kijana wa nyuma ya nape ana tshirt ina alama hiyo
NAULIZA TU, NAOMBA KUJUA.