Nauliza Kama Ndio Ishara ya CCM sasa.

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,099
1,337
7.+Kinana+Nape+wakipunga+mkono+kuingia+uwanjani.jpg


Wakuu naomba kuuliza tu nimeangalia picha nyingi za ziara ya kinana na nape kuna ishara moja wanafanya sanaaa hasa hasa kinana ya DOLE GUMBA (
icon14.png
) sijui kama ndio ishara mpya ya maCCM au ndio chama kimeshajiandikisha kwenye freemason sign

Kwani chadema wana V ndio ishara yao, vip ccm ndio yao mpya, tazama nape na kijana wa nyuma ya nape ana tshirt ina alama hiyo

NAULIZA TU, NAOMBA KUJUA.
 
wanataka ikaribie CDM.hata kikatuni kilichochorwa kinamaanisha Jembe na Nyundo ndio inapigwa chini hivyo
 
Back
Top Bottom