hahahahahhhaha!!! yaan ungekua karibu na jamaa wakat unaandika hii comment angekutindikali!! hahahaa
Mwanaume
mimi naona ni mwanamke maana mwanaume hataweza lazima nyeto itahusika
Hii mada inafaa ikienda facebook
Hii mada inafaa ikienda facebook
habari zenu wadau wa jf,napenda kuuliza hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni yupi anaweza kukaa mda mrefu bila kusex?
Mi umeniletea zawadi gani?
Ttz hata wale wa fb wapo huku!
Wote wanaweza sema watu wanajiendekeza tuu.
Kwa nini akae muda mrefu.....?...kama u mzima.....afya yako si tata.......kifanyio kipo......kwa nini usifanye......?......