Nauliza, hivi lile sakata la kusafirisha mchanga wa dhahabu liliishia wapi!?

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,284
Hivi ile issue ya mchanga pamoja na kuteuliwa kamati mbili za maprofesa bado tu mpka Leo hawajapata ufumbuzi!?? ikumbukwe hawa watu wanalipwa kwa kodi zetu,isijekuwa kuna MTU flank alikua anatafuta sifa Mbele ya vyombo vya habari,ikigundulika kama kweli alikua anatafuta sifa,stashangaa maana Ni kawaida yake.!!
 
Aliyewatuma naona anataka ripoti ya kumridhisha yeye. Ngoja waendelee kuipika itatoka soon
 
Uongo/Ukweli wa MAKAPUKU si sawa na UONGO/UKWELI wa maprofesa...!

Waache wafanye kazi yao kwa UMAKINI...ili wakija na ripoti yao,
Iwe imebeba ama UKWELI au UONGO wa kiwango cha USHAWISHI...

...just a matter of TIME...
 
Kuna watu waliamini yale makontena tunaibiwa?!! Ile ilikua kama kikombe cha Babu Wa Loliondo. Upepo ushapita tugange yajayo
 
Hivi ile issue ya mchanga pamoja na kuteuliwa kamati mbili za maprofesa bado tu mpka Leo hawajapata ufumbuzi!?? ikumbukwe hawa watu wanalipwa kwa kodi zetu,isijekuwa kuna MTU flank alikua anatafuta sifa Mbele ya vyombo vya habari,ikigundulika kama kweli alikua anatafuta sifa,stashangaa maana Ni kawaida yake.!!
wanapoteza muda na rasilimali ukweli unajulikana, eti raisi akamata kontainer za mchanga wa dhahabu, hata IGP sijawahi ona anafanya upuuzi kama huo
 
Hata wewe? Mbona nilikuwa naamini uelewa wako wa vitu? Haihitaji hata uchunguzi kwa uhakika mchanga haukosi dhahabu chini ya 50%...Subiri uone report.

Tusubiri.

Sasa si walikuwa wanaenda kutoa dhahabu na madini mengine kwa vibali halali, kwaninini ukose dhahabu? kiwango chochote kile.

Hapo inataka uelewa upi kuelewa hilo?

Report hapo ni kuchunguza tu jee, huo ulikuwa na vibali kabla au baada ya zuio lakini mengine ni porojo tu.
 
Hivi ile issue ya mchanga pamoja na kuteuliwa kamati mbili za maprofesa bado tu mpka Leo hawajapata ufumbuzi!?? ikumbukwe hawa watu wanalipwa kwa kodi zetu,isijekuwa kuna MTU flank alikua anatafuta sifa Mbele ya
vyombo vya habari,ikigundulika kama kweli alikua anatafuta sifa,stashangaa maana Ni kawaida yake.!!

Semper vigilantem
 
Hivi ile issue ya mchanga pamoja na kuteuliwa kamati mbili za maprofesa bado tu mpka Leo hawajapata ufumbuzi!?? ikumbukwe hawa watu wanalipwa kwa kodi zetu,isijekuwa kuna MTU flank alikua anatafuta sifa Mbele ya vyombo vya habari,ikigundulika kama kweli alikua anatafuta sifa,stashangaa maana Ni kawaida yake.!!
Una uhakika na haya uliyosema au umeamua kutushirikisha kwenye hisia zako tu?
 
Back
Top Bottom