NAULIZA BEI YA BATI ZA RANGI KWA HAPA DODOMA

NAULIZA BEI YA BATI ZA RANGI KWA HAPA DODOMA

Malakipesa

Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
41
Reaction score
42
Habarin za jumamos wakulungwa nikwamba nauliza bei ya bati za rangi shi ngap kwa sasa
 
Naomba u google katika tovuti zao utaona bei ya bati,mfano kiwanda cha alaf Tanzania,sun dragon,nk au ingia Facebook au nenda kaulizie dukani utapata majibu ya uhakika kwa bati unalohitaji
 
Back
Top Bottom