Nauli zimepanda bei njia mbadala

Nauli zimepanda bei njia mbadala

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
ungo.jpgnjia mbadala wadau kukabiliana na ongezeko la nauli
 
Kama imani yako inaruhusu ushirikina labda ila kwa tunaomkubali YESU kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu siyo njia mbadala na Mungu akusamehe kwa fikra zako mfu
 
Kama imani yako inaruhusu ushirikina labda ila kwa tunaomkubali YESU kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu siyo njia mbadala na Mungu akusamehe kwa fikra zako mfu

Hivi ukipanda ungo unakuwa umevunja amri ya ngapi ya mungu? Na je, ukipanda ndege unakuwa umevunja amri ya ngapi? Mimi naona vyote ni usafiri wa anga sijui wewe mwenzangu.
 
Hahahahaaaa huyo lazima atakua Mpwa wangu saudari anaelekea Tanga kwetu kwa akina Mndee Paloma

Goodnight mkumbuke kusali na kumshukuru MUNGU kwa siku iliyokwisha salama
 
Last edited by a moderator:
E bwana nifanyie mpango nipate hiyo makitu,naskia speed yake balaa...
 
Inabidi sheli ziongezwe hata trafic
 
Nauli huwa zinapanda zote, hata ya hiyo njia imepanda pia
 
hahahaaaaaaaa.........huu sasa ndo nautaka wakati kama huu...............manake mshahara bado haujapanda!!!
 
Sasa mkuu hapo akivunja ungo itakuwaje?

Nakaribisha wadau tujimwage.
 
Kama imani yako inaruhusu ushirikina labda ila kwa tunaomkubali YESU kuwa bwana na mwokozi wa maisha yetu siyo njia mbadala na Mungu akusamehe kwa fikra zako mfu

Hivi ukipanda ungo unakuwa umevunja amri ya ngapi ya mungu? Na je, ukipanda ndege unakuwa umevunja amri ya ngapi? Mimi naona vyote ni usafiri wa anga sijui wewe mwenzangu.

Tofauti iliyopo ni katika uwazi tu. Mzungu Teknolojia yake ameiweka wazi vitabuni kila mtu anaweza kuipata wakati hiyo ya wazee wetu ni siri ya mbeba mkoba, utaijua tu pale utakaporithishwa.
 
Kwa ni hatari hasa kwa mtaani na usije ukashangaa usiku petroli na kiberitiy
 
Back
Top Bottom