Nauli za ndege..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauli za ndege..!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chitemo, Aug 5, 2011.

 1. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wadau naomba kujuzwa kuhusu nauli ya ndege toka Arusha to Dar es salaam. Kwa wale waliowahi kusikia au kusafr kwa ndege naomba msaada wenu. Nataka kuja dar kesho kuna ndugu yangu kafariki ghafla.
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  msaada kwa makampuni yote iwe precious, etc
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Arusha Dar ni 196,000/= kampuni mpya ya Safari Plus!
  Kitu ni ya ukweli, full video, wireless ear4ns, fly-time 50min, very comfortable!
  Sema nikuunganishe fasta!
   
 4. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Hili ni jukwaaa la teknolojia sasa nauli na teknolojia wapi na wapi.?

  Tumuia teknolojia kupata jibu. google neno precisison air tanzania au air tanzania the utapata number then piga simu then uliza wahusika.

  Mfano unaweza kupata taarifa zote hapa
  http://www.precisionairtz.com/.
   
 5. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Pole sana.
  Nimekupa jibu hapo juu sijui kama umelisoma!..Kwanini uanze malumbano na watu badala ya kusolve tatizo?
  Kama uko serious ingia PM nikupe options kibao za kufika Dar haraka, hata leo hii!
  Achana na wasanii kama umefiwa bana!
  Mimi niko Arusha!
   
 7. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  pole sana kwa kufiwa na mlezi wako mwenyezi mungu akupe moyo wa subra na amlaze Marehemu mahala pema.
   
 8. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  nimeku PM Pjmmy naomba msaada wako.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  pole sana mkuu, PJ atasolve kila kitu
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Duh mkuu Pole sana mkuu sasa hayo maelezo yote kweli unahitaji msaada. kama vipi we songa mbele uwanja wa ndege na kibegi chako na mshiko. Utapata usafiri na hata lifti sometime ya bei chee
   
 11. bennynho

  bennynho Member

  #11
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pole bwana haya matatizo yanatokea duniani so dnt worry ur not alone
   
 12. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Mimi nimejua tu hawezi kuwa yuko sawa hata kama ni kufiwa........... Maelezo yake tu yalitosha nijue ni mtu wa namna gani. Endeela na moyo huo huo usiichoke kiwasaidia watu . Huyo jamaa sasa ndio msanii wale walikuwa wanamjibu sio wasanii kama ulivyodhani mwanzo.
   
 16. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
   
 17. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
   
 18. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #18
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  hahhahaha P habari ya masiku mamiiiii.??????? siku nyingi sijaona mwandiko wako. Hope uko bomba. na mimi nimefiwa na bibi mzaaa bibi naomba mchango wako nipate nauli ya ndege dar -moro
   
 19. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #19
  Aug 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kaka unauliza nauli za ndege wakati hatuna ndege tanzania? shilika letu lilishauzwa ila wamebaki wafanyakazi tu na mabosi wao wanatembelea magari ya kifahari wakati no income
   
 20. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #20
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  RIP walezi.
   
Loading...