NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Tunaomba sana mliopo mjini dsm mtujuze jamani,tunasikia tu mabasi yameanza kufanya kazi, ila nauri ni kiasi gani kituo hadi kituo?
Tupo shamba huku matombo tusije aibika tukituhitaji kupanda hayo magari,
Tupo shamba huku matombo tusije aibika tukituhitaji kupanda hayo magari,