ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,369
35000 mpaka 40000Nataka Nauli ya basi kutoka Morogoro hadi Nzega
35000 mpaka 40000Nataka Nauli ya basi kutoka Morogoro hadi Nzega
kwa yasyo luxuryDar - Mbeya 30000
OK,lakini unadhambi sana,unamfanyia mama yako mzazi HIVYO?Kizazi cha laana hiki.umegongwa nyuma
umegongwa nyuma
Wana jamvi wanazungumzia nauli za mabasi kwenda mikoani!! Kupumuliwa kisogoni na mzee wako imekutoa akili kabisa,halafu fistula umeisababisha kwa mama moesy,laana tupu!Nilidhani umegongwa na gari kumbe umegongwa nyuma na baba yko
Kama mama yako ulivyokuwa unamfunika pamba siku,umesahau au?Andaa pamba za kutosha kuziba uko nyuma usijepata shida siku ya kujifungua.Maana umechokonolewa sana
We yaani baba yako kakugonga nyuma adi kukuharibu kundu
35000Nataka Nauli ya basi kutoka Morogoro hadi Nzega
35000Naomba kuuliza nauli ya Moro _ Igunga
Arusha- Moshi 2,500/- hadi 3,000/-Arusha - Moshi 4500.
Shukran boss...kawaida unafika saa ngap songea?
Kupitia Lindi ni njia ndefu na inaongezeka umbali kama wa kilometa mia moja hivi na zaidi.
Uzuri ni kuwa njia hiyo bado haijawa populated sana kama ilivyo njia ya Iringa.
1.Makazi ya watu ni kidogo ukilinganisha na njia ya Iringa hivyo speed limit ya 50km/hr ni sehemu chache tu.
2.Wingi wa magari pia ni mdogo ukilinganisha na njia ya Iringa hivyo inakufanya dereva kutembea speed kubwa sehemu nyingi kwani kujiamini kunaongezeka .
3.Sehemu mbaya/korofi/hatarishi ni chache kulinganisha na njia ya Iringa yenye milima mikali na kona kali.
Hii hukusaidia dereva kutembea speed kubwa zaidi na kwa kujiamini.
NB.
Kumbuka basi hutembea ndani ya speed limit ya 80km/hr
Kufika Dar au Songea kwa kupitia lindi saa 3 kwa limitation hii ya speed ni habari za kusadikika/vijiweni tu ambako vijana wanaongea kwa speed kubwa kuliko speed ya gari.
Iringa mara nyingi hufika songea saa 4 had 5 mkuu,,na mara chache saa 3 hii ni kutokan n check point nyingi njia y iringa n msongamano pamoja n vilimaKwa sasa, basi linatoka Dar saa 12 asubuhi na kuingia Songea any time kuanzia saa 3 usiku. Haijalishi umepitia Iringa au Lindi
Mkuu hata saa za njia ya Lindi zinafika huo mudaKwenye maelezo yangu ya msingi Post No. 27 hapo juu,nilianza kwa sentensi:
"Zamani walikua wanaingia saa3", mwisho wa kujinukuu. Inashangaza hujatofautisha maneno ya kijiweni na uhalisia. Inafahamika zamani kabla ya vizibit mwendo,magari yalikua yanawahi kufika kwa sababu madereva walikua wanaendesha kwa mwendo mkali.
Sasa mambo ya kijiweni yameingiaje hapa,sijaelewa kabisa.