Nauli ni Tsh 23,000 tu full Kiyoyozi. Ukijichanganya ukapanda ambalo hawawashi AC bei ni hiyo hiyo. Na umbali ni kilometa 560 hiviSina hakika sana ila nadhani ni kama 25000/= hivi japo pia inategemea na hadhi ya basi ulipandalo
Nauli ni Tsh 23,000 tu full Kiyoyozi. Ukijichanganya ukapanda ambalo hawawashi AC bei ni hiyo hiyo. Na umbali ni kilometa 560 hiviSina hakika sana ila nadhani ni kama 25000/= hivi japo pia inategemea na hadhi ya basi ulipandalo
Kuanzia saa nne usiku hadi saa sita hiviShukran boss...kawaida unafika saa ngap songea?
Shukrani bossNauli ni Tsh 23,000 tu full Kiyoyozi. Ukijichanganya ukapanda ambalo hawawashi AC bei ni hiyo hiyo. Na umbali ni kilometa 560 hivi
Sina hakika sana ila nadhani ni kama 25000/= hivi japo pia inategemea na hadhi ya basi ulipandalo
Siyo 3,000 tena?Arusha - Moshi 4500.
3000 ulitoka muda.Siyo 3,000 tena?
Lakini inaonyesha unaenda zako Songea. Zamani ilikua saa3 wanaingia Songea kwa kupitia njia ya Lindi.Shukrani boss
Nataka Nauli ya basi kutoka Morogoro hadi Nzega
Mwaka gn umepanda Kwa bei hiyo?Siyo 3,000 tena?
Lakini inaonyesha unaenda zako Songea. Zamani ilikua saa3 wanaingia Songea kwa kupitia njia ya Lindi.
Inatajwa kuwa kuna ongezeko la umbali wa kilometa kama 100 hivi kwenda Songea ukipitia Lindi. Hata hivyo kwa sababu barabara haina kona nyingi,kona kali na malori siyo mengi kama kupitia TANZAM Highway,njia nzuri na ya kuwahi ni kupitia Lindi.
Kule Mtwara kuna mabasi ya Selous huanza saa 1w na lingine saa 4 kutoka Songea kwenda Mtwara na Mtwara kwenda Songea(Selous na Super Feo inatajwa ni kampuni moja)
Kazi kwako
Mwaka Jana.Mwaka gn umepanda Kwa bei hiyo?
Kwa sasa, basi linatoka Dar saa 12 asubuhi na kuingia Songea any time kuanzia saa 3 usiku. Haijalishi umepitia Iringa au LindiShukran boss...kawaida unafika saa ngap songea?
Sio sahihi,zinaanza kuingia za njia ya Iringa kwanza.Kwa sasa, basi linatoka Dar saa 13 asubuhi na kuingia Songea any time kuanzia saa 3 usiku. Haijalishi umepitia Iringa au Lindi
Siyo kila siku zinawahi za kupitia Iringa.... Siku nyingine za Lindi... Bottom line ni kuwa Kwa sasa hakuna inayoingia kabla ya saa 3 usiku..Sio sahihi,zinaanza kuingia za njia ya Iringa kwanza.
Kumbuka siku hizi basi zinaongozwa na VTS
Arusha -Moshi 2500-3000Arusha - Moshi 4500.
Kwenye maelezo yangu ya msingi Post No. 27 hapo juu,nilianza kwa sentensi:Kupitia Lindi ni njia ndefu na inaongezeka umbali kama wa kilometa mia moja hivi na zaidi.
Uzuri ni kuwa njia hiyo bado haijawa populated sana kama ilivyo njia ya Iringa.
1.Makazi ya watu ni kidogo ukilinganisha na njia ya Iringa hivyo speed limit ya 50km/hr ni sehemu chache tu.
2.Wingi wa magari pia ni mdogo ukilinganisha na njia ya Iringa hivyo inakufanya dereva kutembea speed kubwa sehemu nyingi kwani kujiamini kunaongezeka .
3.Sehemu mbaya/korofi/hatarishi ni chache kulinganisha na njia ya Iringa yenye milima mikali na kona kali.
Hii hukusaidia dereva kutembea speed kubwa zaidi na kwa kujiamini.
NB.
Kumbuka basi hutembea ndani ya speed limit ya 80km/hr
Kufika Dar au Songea kwa kupitia lindi saa 3 kwa limitation hii ya speed ni habari za kusadikika/vijiweni tu ambako vijana wanaongea kwa speed kubwa kuliko speed ya gari.
Dar - Mbeya 30000dar - musoma = 55,000 ila utalipa 50,000
dar mbeya 40,000