Nauli ya Songea ni kiasi gani?

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,645
5,596
Habari zenu waungwana,wiki ijayo nategemea kusafiri kwenda songea cjajua nauli yake ni kiasi gani nsije kupigwa pale ubungo
 
Usafiri wa songea - Dar
1. Super Feo
2. New Force
3. Ilyana
Binafsi zote nimepanda, na zote ziko poa but kwa sasa binafsi Ilyana ipo juu full Ac na charging system na zaidi hawakomai bei kama super feo wape 43000
 
Hata Mimi naomba kujuzwa kama Tiketi ya Songea inapatikana asubuhi hiyo hiyo au in kwa booking!
 
Habari zenu waungwana,wiki ijayo nategemea kusafiri kwenda songea cjajua nauli yake ni kiasi gani nsije kupigwa pale ubungo
38000 super feo nenda kariakoo ofisi zao zipo 0657571820 hii ofa ukikata tiketi namapema
 
Back
Top Bottom