Nauli ya Songea ni kiasi gani?

Nauli ya Songea ni kiasi gani?

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
Habari zenu waungwana,wiki ijayo nategemea kusafiri kwenda songea cjajua nauli yake ni kiasi gani nsije kupigwa pale ubungo
 
Usafiri wa songea - Dar
1. Super Feo
2. New Force
3. Ilyana
Binafsi zote nimepanda, na zote ziko poa but kwa sasa binafsi Ilyana ipo juu full Ac na charging system na zaidi hawakomai bei kama super feo wape 43000
 
Ilyana ndio mashine mpya njia ya Songea.Ila superfeo na New force.
 
Hata Mimi naomba kujuzwa kama Tiketi ya Songea inapatikana asubuhi hiyo hiyo au in kwa booking!
 
Habari zenu waungwana,wiki ijayo nategemea kusafiri kwenda songea cjajua nauli yake ni kiasi gani nsije kupigwa pale ubungo
hauwezi kupigwa wewe ni mtoto wa mjini

Ila andaa 45,000
 
Habari zenu waungwana,wiki ijayo nategemea kusafiri kwenda songea cjajua nauli yake ni kiasi gani nsije kupigwa pale ubungo
38000 super feo nenda kariakoo ofisi zao zipo 0657571820 hii ofa ukikata tiketi namapema
 
Back
Top Bottom